Urban86
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 279
- 130
Kitu cha kufurahisha kuhusu hii mashine na ni ukweli ambayo wapaswa kuujua kabla ya kununua egg incubator yeyote.Gharama za Uendeshaji
Hiki ndio namaanisha, Mashine hii inatumia umeme wa 220-240V na Power consumption ya 200W
Kwa maana hiyo kwa masaa 24 inatumia unit 4.8 i.e. (200x24/1000= 4.8kWh) za umeme na kwa siku 21 za utotoleshwaji wa mayai itatumia umeme wa units: 4.8x21=100.8 ambazo ukizizidisha na bei ya unit moja say 310Tshs. Hivyo kwa mwezi utatumia umeme wa 31,250Tshs.
Nachotaka kuwaonyesha hapa ni kwamba, ukinunua mashine yenye uwezo sawa na huu lakini inatumia umeme say 600W(power sababu voltage itabakia 220-240) utalipia umeme wa 62,500Tshs zaidi, na ukitotolesha mara 15 kwa mwaka (365/21= 17 average) utatumia umeme wa 937,500Tshs kama hasara katika gharama za uendeshaji wa mashine.