Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Nauza mashine ya kutotolea vifaranga

Inabeba mayai 1440,

Ipo katika hali nzuri sana kwani ufanyaji kazi wake ni 90%+.

Inauzwa kwa kuwa nimeleta mashine kubwa zaidi

Bei 2.2mil

Tuwasiliane kwa mazungumzo zaidi - 0712 057514
P1012059.JPG
P1012052.JPG
P1012057.JPG
P1012054.JPG

Nauza mashine ya kutotolea vifaranga (Incubator)
Inatumia umeme, Full Automatic, Capacity 1440eggs, Ufanyaji kazi - 90%+
Bei 2.2mil
Imetengenezwa hapa Tanzania
Inauzwa kwa kuwa nimeleta mashine kubwa zaidi
0712 057514

Za broiler zipo mkuu, china na hata israel na Kenya kuna jamaa wameanza kutengeneza. Kama unafahamu hao watengenezaji waulize watakupa majibu.
Uniulizie na bei mkuu. ALIBABA PIA WANAZIADVATISE HIZO BROILER CAGES.

Habari ya kwako ndugu!
Je wafahamu kuhusu incubators nzuri na zenye ubora wa hali ya juu!?
Je unafahamu kukuhu bei yake!? Jipatie incubators nzuri kutoka Chinaworldbuz company leo chagua model utakayo na maelezo yako hapo kwenye picha ya kwanza
Mawasiliano
0653978496 Peter Mwasunga
+8613524159707 cwb china whatsapp au tupigie simu.
Kwa maelezo mazuri ya cwb karibu ofisini kwetu
Gorofa ya 10, Ushirika tower, barabara ya Lumumba, mmnazi mmoja Dar es salaam.

ImageUploadedByJamiiForums1403627371.025420.jpgImageUploadedByJamiiForums1403627394.010489.jpgImageUploadedByJamiiForums1403627412.010358.jpgImageUploadedByJamiiForums1403627423.773501.jpgImageUploadedByJamiiForums1403627438.856723.jpgImageUploadedByJamiiForums1403627450.534719.jpgImageUploadedByJamiiForums1403627463.949328.jpgImageUploadedByJamiiForums1403627486.242382.jpg

so nawezaje pata hio ndogo yenye uwezo nilioweka hapo juu?????????????? na bei gani?????????????

Habari Ndugu mtanzania! Katika kuelekea msimu huu wa sikukuu za sabasaba, tunakutangazia offer maalumu ya incubators, jipatie incubators nzuri kutoka Chinaworldbuz Company.

Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kupitia number hii +255653978496 Peter Mwasunga, +8613524159707, +8613127807205 moja kwa moja kutoka China.

Pia tunakukaribisha ofisini kwetu, Gorofa ya 10 Ushirika Tower, Barabara ya Lumumba, Mnazi mmoja.

Nyote mnakaribishwa.
INCUBATOR FOB???.jpg
DLF-T24 .jpg
DLF-T25.jpg
DLF-T6 .jpg
DLF-T30-??.jpg

Nimeweka bei na specifications zote kwenye picha ya kwanza ina tables hivi ndugu zangu!
Siku njema

bei mbona nimeweka. Naanzia laki na 80, laki 2; laki 3.5 had laki 4.5

Wadau naomba msaada wenu.
Mimi ni mjasiliamali anayejishugulisha na ufugaji wa kuku wa kienyeji.
Shida yangu ni Incubator mashini ya kuangulia mayai. Sijawa na mtaji wa
kununulia incubator halisi ila nataka nianze kwa jinsi ya kiasili kabisa
ya kuangua mayai japo kati ya 25 hadi 40 ili kuokoa mayai mengi
yanayoharibika kwa kuachwa na kuku mwenyewe na pia ili kupata vifaranga
wengi kwa wakati mmoja. Sasa niliambiwa kuna njia fulani ya kutotolesha
mayai bila kutumia incubator. Naomba msaada kwa anayefahamu.
Naomba kutoa hoja

Nipigie:0784413039;Naunda incubator nzuri na bora za kutumia mafuta ya taa au umeme.Incubator ni imara na zinauwezo mkubwa sana wa kutotolesha mayai. Au ingia facebook:Mwakalinga General Enterprises;ndiyo kampuni inayounda Incubator.

Kampuni ya MGE & MGE ni kampuni binafsi iliyochini ya waalimu mahiri wanaofundisha ktk vyuo vya VETA.

Lengo kuu la kampuni ni kusaidia jamii kupata huduma bora na sahihi za ufundi ikiwemo kubuni bidhaa,mashine na mitambo mbalimbali itakayoweza kurahisisha kazi ktk jamii kwa ujumla.Kampuni imeanza kushirikiana na SIDO ili kupata uzoefu mbalimbali kutoka ktk idara hizo.

Kwa sasa kampuni ina jumla ya waalimu wanne ambao ndio waanzilishi.Lengo ni kusogeza huduma ktk mikoa yote ili ziwafikie wananchi kwa ujumla.

Na sasa kampuni inaunda mashine za kutotoleshea vifaranga (Incubator), zinazotumia mafuta ya taa na zinazotumia umeme.

Pia tunaunda Inverter zenye nguvu kubwa za kuendesha vitu vikubwa vya umeme, tunajenga mitambo ya biogas majumbani.

Wasiliana nasi:
Ofisi kuu:Mwl.Eliasante:0784413039;
Njombe:mwl.Keula:0787150720.
E mail:mwakalingaeli@gmail.com.
"TUNAKUSIKILIZA UNACHOTAKA,TUNAKUSHAURI,TUNAKUTIMIZIA"

Wadau naomba msaada wenu.
Mimi ni mjasiliamali anayejishugulisha na ufugaji wa kuku wa kienyeji.
Shida yangu ni Incubator mashini ya kuangulia mayai. Sijawa na mtaji wa
kununulia incubator halisi ila nataka nianze kwa jinsi ya kiasili kabisa
ya kuangua mayai japo kati ya 25 hadi 40 ili kuokoa mayai mengi
yanayoharibika kwa kuachwa na kuku mwenyewe na pia ili kupata vifaranga
wengi kwa wakati mmoja. Sasa niliambiwa kuna njia fulani ya kutotolesha
mayai bila kutumia incubator. Naomba msaada kwa anayefahamu.
Naomba kutoa hoja

INCUBATOR ZA KUTOTOLESHA MAYAI.

Ni wazi kuwa kila mtu anahitaji kuwa na kipato kizuri,na njia ambayo inaweza kuwa rahisi ni ufugaji.

Kwa wale ambao wanahitaji kufuga kuku;lakini hawana uwezo mkubwa wa kununua mashine Original za kutoka nje za kutotoleshea mayai;wawasiliane nasi(mwakalinga general enterprises);unaweza ukatutafuta facebook kwa maelezo zaidi au ukatupigia simu:0784413039.;au kutuandikia e mail:mwakalingaeli@gmail.com.
Sisi ni wa Tanzania;tunafurahia maendeleo ya wa Tanzania wenzetu;tumekuwa na uzoefu wa kuunda Incubator mbalimbali kwa miaka kumi sasa;na baada ya kuona wengi wanauhitaji tumeamua kujitangaza rasmi;incubator tunaunda zinazotumia umeme au mafuta ya taa.

Tunaunda mashine kulingana na mahitaji ya mteja;Incubator tunazounda zinaweza kutumika miaka zaidi ya 40 pasipo kuharibika.

Karibuni sana wenye shida ya kupata Incubator ya aina yoyote kwa gharama nafuu.

Mwakalinga
General Enterprises is a private ownerd company.The company is ownerd by
Eliasante Lastone Mwakalinga.

The company dealing in different techinologies widely in desining
different types of mashine such as Egg Incubator (Kerosene and Electrical powerd Incubator) Powerful Inverters which can be used in
houses, hotels ,Salon and used to run freezer, fridge, Electric fan, Electric water pumps, Driryers, and many.

The company dealing also in Electrical Installation, Solar Installation, and Biogas.

Visit us at Mburahati Kinondoni Dar es salaam, Or Tabata Ilala Dar es
salaam.

Call us:+255784413039 (also used in Whatsapp), or e mai us:
mwakalingaeli@gmail.com.

Back
Top Bottom