Mashine za maji

Mashine za maji

Edzone

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
1,957
Reaction score
1,785
Mashine za kupandisha maji kwenye Matank na Mashine za kusafisha maji kwa domestic use.
Nauza jumla na rejareja
 

Attachments

  • IMG-20240423-WA0012.jpg
    IMG-20240423-WA0012.jpg
    119.6 KB · Views: 6
  • IMG-20240423-WA0010.jpg
    IMG-20240423-WA0010.jpg
    101.6 KB · Views: 6
  • IMG-20240423-WA0011.jpg
    IMG-20240423-WA0011.jpg
    105.8 KB · Views: 7
  • IMG-20240423-WA0009.jpg
    IMG-20240423-WA0009.jpg
    89.6 KB · Views: 8
  • IMG-20240423-WA0008.jpg
    IMG-20240423-WA0008.jpg
    95.6 KB · Views: 7
  • IMG-20240423-WA0007.jpg
    IMG-20240423-WA0007.jpg
    88 KB · Views: 6
  • IMG-20240423-WA0005.jpg
    IMG-20240423-WA0005.jpg
    56.7 KB · Views: 8
  • IMG-20240423-WA0006.jpg
    IMG-20240423-WA0006.jpg
    102 KB · Views: 6
  • IMG-20240423-WA0004.jpg
    IMG-20240423-WA0004.jpg
    66.8 KB · Views: 6
  • IMG-20240423-WA0003.jpg
    IMG-20240423-WA0003.jpg
    87.7 KB · Views: 6
Nahitaji chujio la kusafisha/kuondoa Chumvi (ambayo sio kali sana)
Kwa matumizi ya nyumbani; kama unayo na bei yake tafadhali
 
Ukileta tangazo hakikisha umeweka maelezo ya kutosha, vimaswali vidogo dogo vyote viwe namajibu ya hayo maelezo yako..

Mfano unasema pump ya hp fulani ni sh kadha, inafaa kwa hiki na hiki.

Mashine ya kusafishia maji sh kadhaa, inachuja lita fulani ndani ya mida fulani
Inapendeza zaidi.
 
Ukileta tangazo hakikisha umeweka maelezo ya kutosha, vimaswali vidogo dogo vyote viwe namajibu ya hayo maelezo yako..

Mfano unasema pump ya hp fulani ni sh kadha, inafaa kwa hiki na hiki.

Mashine ya kusafishia maji sh kadhaa, inachuja lita fulani ndani ya mida fulani
Inapendeza zaidi.
Madalali hawa hawajui hata Abcd ya kitu wanachouza.

Mfanya biashara serious hawezi kufanya utani huu.
 
Back
Top Bottom