Wapendwa wana JF, natambua kuwa katika mitaa yetu tayari tunazo mashine za max malipo ambazo zinatumika kutoa huduma mbalimbali za kijamii ikiwemo kulipia malipo ya dawasco, luku n.k
Ndugu zangu naomba kujua ukweli wa haya:
Ndugu zangu naomba kujua ukweli wa haya:
- gharama ya kuzipata mashine ni shiling 850,000?
- mashine hizi zinatoa pia huduma za M-pesa, Tigo pesa, Airtel money na Ezy-pesa?
- faida ya mashine hizi ni ndogo kuliko kufanya biashara ya moja kwa moja ya VTL za makampuni ya simu?