Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Mbona mashine za bakery Bei unasema waje WhatsApp?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashine za bakery zipo nyingi sana vizuri utaje specific ipi japo naweka kila mashine kimaelezo karibu SanaMbona mashine za bakery Bei unasema waje WhatsApp?
Hiyo ndogo Bei gani?Mixer size mbalimbaliView attachment 1520740
Bei gani hizi
Hizi zipo katika ukubwa tofauti kuanzia Laki mbili na 20Bei gani hizi
Karibu Sana kwa mashineAseeeee kweli balaaa
Inategemea ila orodha hiiHiyo ndogo Bei gani?
Vipi nikitaka kuanzisha la bakery ka kishkaji home natakiwa kuwa na vifaa gani na itanicost Kama ngapi hivi
Unahitaji kuanzisha bakery au mashine mojawapo katika bakery,mgahawa au hoteli hapa najidakia store unazipata inapatikana Ilala Dar es salaamEndelea mkuu tufungue kiwanda watu.
*Unahitaji kuanzisha bakery au mashine mojawapo katika bakery,mgahawa au hoteli hapa najidakia store unazipata inapatikana Ilala Dar es salaam*Mbona mashine za bakery Bei unasema waje WhatsApp?
Kg nane hiyo mkuuHiyo ndogo Bei gani?
Vipi nikitaka kuanzisha la bakery ka kishkaji home natakiwa kuwa na vifaa gani na itanicost Kama ngapi hivi
Pole Sana mkuu inaonekana ni muda uliniuliza sikuonaKuna vitu navihtaj bahat nzur nimeviona hapa,
food warmer showcase na mixer,
natarajia uchambue zaid ila maswali ni je
hio food warmer mliyonayo ni ip kat ya hzo?
naweza pata picha halisi?
ni sh ngap kwa ya ujazo gan/plate ngap?
View attachment 1151682
View attachment 1151683
View attachment 1151684
View attachment 1151685
Hizi mixer ni ip mliyonayo? Planetary au Spiral au zote?
View attachment 1151681
Ni sh ngap kwa mfano yenye ujazo wa 8 na je ni katika kizio cha ltr/kg/qt/lbs?
Maana watu weng wanabug sana kununua mixer pasipo kujua ya kwamba inatakiwa ujue zinatofautiana kazi mfn ya kukandia unga mzito na unga wa keki na pizza.
je ni kweli unaweza ukatumia planetary mixer kukandia unga mzito lakini kwa ujazo mdg zaid ya ukubwa wa mixer?
Mzee naomb unijb hayo maswali serious