Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,357
- 3,550
Mnazo mashine za kufanyia packaging kwenye packets mfano viungo vya vyakula. Mashine ya nyie kutengeneza sh ngapi?Unahitaji mashine sasa Najidakia store & General supply tupo Kwa ajili yako
mashine ya juice ya miwa utaipata Kwa million moja na Laki mbili tu inachuja na kuacha juisi yako ikiwa safi kabisa mtu mmoja anaweza kuendesha hii mashine weka oda yako sasa
mashine Zote za bakery utazipata nitazichambua moja baada ya nyingine
Mashine za bakery
mashine za pea nut butter million moja na Laki mbili tu uwezo wake kg 25 Kwa SAA
mashine ya ice cream million mbili na Laki sita inaweza kuzalisha zaidi ya Lita 200 Kwa siku
mashine ya chockstick yenye kuzalisha piece 40 Kwa dakika 15-20 hii ni million mbili na Laki tano (used)
Mpya 2.9m
na yenye kuzalisha piece 80 dakika 15-20 hii ni million nne
MASHINE ZA BAKERY
*Unahitaji kuanzisha bakery au mashine mojawapo katika bakery,mgahawa au hoteli hapa najidakia store unazipata inapatikana Ilala Dar es salaam*
Simu 0762612213
Mashine zilizopo najidakia store
Oven list yake hii
1layer na tray 1&2 umeme 1300000
Na kwa gas 1900000
2layers na tray 4 umeme 2800000
Gas 3200000
3layers na tray 6 oven umeme 4000000 na gas 4200000
3layers na tray tisa hii ni pana sana umeme 6.8m na gas 7.6m
Displays
Hizi zipo aina tofauti
Zipo millioni 4
Millioni mbili na laki nane
Juice dispensers
Tray mbili 950000
Tray tatu 1400000
Mixers
Cake mixer 2.5kg hizi laki saba tu
Cake mixer 8kg 1.3m
Cake mixer 12.5kg 2m
Cake mixers 25kg 4.8m
Spiral mixers 12.5kg 2m
Spiral mixers 25kg 4.5m
Spiral mixers 50kg 9m
PROOFER
Proofer zipo aina Mbili mlango mmoja -laki tisa na nusu na milango miwili million moja na laki nane
DISPLAYS
ZIPO ZA 1900000
2800000
4000000 N. K
OVEN AINA ZOTE
MIXER
bread slicers
lolote mawasiliano 0779593460
View attachment 1151471View attachment 1151472View attachment 1151473View attachment 1151474View attachment 1151475View attachment 1151476View attachment 1151477View attachment 1151478View attachment 1151479
NITACHAMBUA KILA KITU FUATILIA HAPA
Na hivi za kuagiza nje shs ngapi roughly ?