INAUZWA Mashine za miwa, bakery, ice cream, pea nut, chips, juicer n.k

Mnazo mashine za kufanyia packaging kwenye packets mfano viungo vya vyakula. Mashine ya nyie kutengeneza sh ngapi?
Na hivi za kuagiza nje shs ngapi roughly ?
 
Hiyo ice lolly kama mnvyoita chockstick
Ni mashine inayojitegemea kutengeneza lollies au
 
Mnazo mashine za kufanyia packaging kwenye packets mfano viungo vya vyakula. Mashine ya nyie kutengeneza sh ngapi?
Na hivi za kuagiza nje shs ngapi roughly ?
Mashine hii ni bora ya kuagiza mkuu na bei inategemea zipo ndogo roughly 1.5m
 
Mnazo mashine za kufanyia packaging kwenye packets mfano viungo vya vyakula. Mashine ya nyie kutengeneza sh ngapi?
Na hivi za kuagiza nje shs ngapi roughly ?
Kutengeneza inaweza kuwa juu mkuu roughly above 5m lakini kuagiza zipo 3m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…