Ishu n mapato.Mawakala tumekuwa waathirika wakubwa kwenye mashine hizi za uwakala wa mabenki, unakuta benki zipo zaidi ya 40 Tanzania na kila benki ina mashine yake, tena zinauzwa ghali sana na ukilazimisha uwe na za benk zote hauwezi, na utakuwa nazo nyingi na zitakuletea usufumbufu sana.
Kwanini BoT isiziongoze benki zote kuwa na mfumo mmoja utakaoweza kuhudumia benki zote na kugawana faida, badala ya hii ya sasa ambayo wakala utahitajika kuwa na mashine ya kila benki?
Hii ni kero sana kwetu.
Mi nahisi mapato sio issue, kama muamala mmoja bank ilikua inapata 100tshs ukipata 80tsh sio mbaya, hiyo 20tshs inaenda kwa mtoa huduma wa kati, maisha yanakua rahisi. Sio hii ya kua na mashine 20 kwenye meza za benk tofautiIshu n mapato.
Umetisha sanaa.Mawakala tumekuwa waathirika wakubwa kwenye mashine hizi za uwakala wa mabenki, unakuta benki zipo zaidi ya 40 Tanzania na kila benki ina mashine yake, tena zinauzwa ghali sana na ukilazimisha uwe na za benk zote hauwezi, na utakuwa nazo nyingi na zitakuletea usufumbufu sana.
Kwanini BoT isiziongoze benki zote kuwa na mfumo mmoja utakaoweza kuhudumia benki zote na kugawana faida, badala ya hii ya sasa ambayo wakala utahitajika kuwa na mashine ya kila benki?
Hii ni kero sana kwetu.
Mkuu una piga ishu za uwakala?Umetisha sanaa.
Mimi nina
1. CRDB
2. NMB
3. NBC
4. PBZ
5. EXIM
6. POSTA
7. Benki fulani hivi ya USHIRIKA
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ni moja wapo ya ishu zangu.Mkuu una piga ishu za uwakala?