Mashine za uwakala wa benki

Mashine za uwakala wa benki

mkolejr

New Member
Joined
Jan 16, 2020
Posts
4
Reaction score
20
Mawakala tumekuwa waathirika wakubwa kwenye mashine hizi za uwakala wa mabenki, unakuta benki zipo zaidi ya 40 Tanzania na kila benki ina mashine yake, tena zinauzwa ghali sana na ukilazimisha uwe na za benk zote hauwezi, na utakuwa nazo nyingi na zitakuletea usufumbufu sana.

Kwanini BoT isiziongoze benki zote kuwa na mfumo mmoja utakaoweza kuhudumia benki zote na kugawana faida, badala ya hii ya sasa ambayo wakala utahitajika kuwa na mashine ya kila benki?

Hii ni kero sana kwetu.
 
Hata hii mitandao ya simu kwenye e-money iwe hivyo. Pia ziruhusiwe service desk universal (voda, tigo, airtel, halotel n.k) iwe sehemu moja watoe uwakala wa hivyo sio huduma zinakuwa scattered.
 
Mawakala tumekuwa waathirika wakubwa kwenye mashine hizi za uwakala wa mabenki, unakuta benki zipo zaidi ya 40 Tanzania na kila benki ina mashine yake, tena zinauzwa ghali sana na ukilazimisha uwe na za benk zote hauwezi, na utakuwa nazo nyingi na zitakuletea usufumbufu sana.

Kwanini BoT isiziongoze benki zote kuwa na mfumo mmoja utakaoweza kuhudumia benki zote na kugawana faida, badala ya hii ya sasa ambayo wakala utahitajika kuwa na mashine ya kila benki?

Hii ni kero sana kwetu.
Ishu n mapato.
 
Ishu n mapato.
Mi nahisi mapato sio issue, kama muamala mmoja bank ilikua inapata 100tshs ukipata 80tsh sio mbaya, hiyo 20tshs inaenda kwa mtoa huduma wa kati, maisha yanakua rahisi. Sio hii ya kua na mashine 20 kwenye meza za benk tofauti
 
Mawakala tumekuwa waathirika wakubwa kwenye mashine hizi za uwakala wa mabenki, unakuta benki zipo zaidi ya 40 Tanzania na kila benki ina mashine yake, tena zinauzwa ghali sana na ukilazimisha uwe na za benk zote hauwezi, na utakuwa nazo nyingi na zitakuletea usufumbufu sana.

Kwanini BoT isiziongoze benki zote kuwa na mfumo mmoja utakaoweza kuhudumia benki zote na kugawana faida, badala ya hii ya sasa ambayo wakala utahitajika kuwa na mashine ya kila benki?

Hii ni kero sana kwetu.
Umetisha sanaa.
Mimi nina
1. CRDB
2. NMB
3. NBC
4. PBZ
5. EXIM
6. POSTA
7. Benki fulani hivi ya USHIRIKA

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Na hapo bado unatakiwa ununue zingine, imagine!!
 
Selcom si walifanyaga ivo kipindi fulani .. inshu inakuja kwenye malipo ya mirejea kama mashine moja iwe na bank zote .. je mko tayari mawakala kushare cammision i
 
Selcom inakupa huduma ya bank kadhaa katika machine zao

Na flot ni tofauti, unaweza selcom kivyake na hizo Bank zingine kivyake
 
Back
Top Bottom