Mawakala tumekuwa waathirika wakubwa kwenye mashine hizi za uwakala wa mabenki, unakuta benki zipo zaidi ya 40 Tanzania na kila benki ina mashine yake, tena zinauzwa ghali sana na ukilazimisha uwe na za benk zote hauwezi, na utakuwa nazo nyingi na zitakuletea usufumbufu sana.
Kwanini BoT isiziongoze benki zote kuwa na mfumo mmoja utakaoweza kuhudumia benki zote na kugawana faida, badala ya hii ya sasa ambayo wakala utahitajika kuwa na mashine ya kila benki?
Hii ni kero sana kwetu.