TensorFlow
JF-Expert Member
- Feb 11, 2020
- 993
- 1,286
Nimekidhi mpaka nimezidi requirements zao.Umekidhi vigezo..?
Wamesifiwa majuzi kuwa wanampa serikali gawio kubwaWakati huohuo bank ya CRDB inauza mashine zake moja kwa TZS 400,000/= na niliipata muda mfupi tu baada ya kuomba.
Hivi NMB kwa nini mnakuwa hivyo ?
Hizo mashine walikuuzia TZS ngapi ?Nimi ninaoffice zangu za uwakala office mbili nina machine za nmb na zingine hazina machine, zina nmb mkononi.tofauti naiyona kwenye commission ...office zenye machine kila machine inalaza karibu 400000 kwa mwezi while zinazotumia simu zenyewe zinalaza 70 mpaka 80 hapo imejitahidi. Machine inauwezo wakulipa vitu vingi vinavyohitaji risiti...pia hii ya mkononi ni complicated sana kwa wakala na mteja.
Mimi niliachiwa na bmkubwa yeye anafanya mishe zingine...ila kuna mtu alikuwa anauza milioni 1Hizo mashine walikuuzia TZS ngapi ?
Wamerudisha na wanaziuza.Walishasema pos wanaachana nazo...na hata ikiharibika ukipeleka kwao kuna mawili kuipata tena au kuikosaaa...
Wameanza lini na bei gani??Wamerudisha na wanaziuza.
#YNWA
Hii hapaWameanza lini na bei gani??
Duuuh sio mchezoooHii hapa
1. Ukitaka mashine ya poss 1,106,000/=
2. Ukitaka Bluetooth printer 613,0000
Kazi kwako.
View attachment 2832399
#YNWA
Nawatafuta NMB, nilishawahi kuona uzi wao humu lakini sijui ulipo sasa.
Mashine za uwakala za NMB (POS) moja inauzwa TZS 1,106,000/= (Milioni moja laki moja na elfu sita). Ajabu ni kwamba, pamoja na bei kubwa kiasi hicho kuipata mashine ya NMB ni kazi ngumu mno. Nimeomba kwao kupatiwa hii mashine huku nikifuatilia mara kwa mara kwa zaidi ya mwaka sasa.
Mimi ni wakala wao na natumia NMB app - NMB mkononi kuhudumia wateja, ambayo wateja wanaichukia hasa.
Wakati huohuo bank ya CRDB inauza mashine zake moja kwa TZS 400,000/= na niliipata muda mfupi tu baada ya kuomba.
Hivi NMB kwa nini mnakuwa hivyo ?
tf
Chief hyo milioni moja na point ni ya machine pekee yake au wanakuwekea km salio kwenye hyo posHii hapa
1. Ukitaka mashine ya poss 1,106,000/=
2. Ukitaka Bluetooth printer 613,0000
Kazi kwako.
View attachment 2832399
#YNWA
Gharama ya mashine pekee yakeChief hyo milioni moja na point ni ya machine pekee yake au wanakuwekea km salio kwenye hyo pos
Duh si mchezo milion mbili mashine pekee hapo bado kulipia ofisi nkGharama ya mashine pekee yake
Kuhusu hilo ulilouliza ni Mil 1 kamili.
Ila unalipa hiyo 1.106 halafu siku ukiitwa kuchukua mashine yako unaenda na cash ya float ya mil 1
#YNWA
We zombi haujui[emoji16][emoji16][emoji16] mpaka tuite maji mmaDuh si mchezo milion mbili mashine pekee hapo bado kulipia ofisi nk