Mashine za Uwakala za NMB ni ghali sana halafu ni shida mno kuzipata

Mashine za Uwakala za NMB ni ghali sana halafu ni shida mno kuzipata

Kila bank inajifanya inataka kuhamia mobile app, hizo mobile apps watafanya transactions na ndugu zao. Watanzania hawataki huo ujinga.
 
Nimi ninaoffice zangu za uwakala office mbili nina machine za nmb na zingine hazina machine, zina nmb mkononi.tofauti naiyona kwenye commission ...office zenye machine kila machine inalaza karibu 400000 kwa mwezi while zinazotumia simu zenyewe zinalaza 70 mpaka 80 hapo imejitahidi. Machine inauwezo wakulipa vitu vingi vinavyohitaji risiti...pia hii ya mkononi ni complicated sana kwa wakala na mteja.
Hivi POS kama hizo za NMB na CRDB pamoja na line za uwakala wa miamala ya mitandao ya simu kama zinatumika mkoa fulani inakubalika kuzihamishia mkoa mwingine tofauti na mji/mkoa ulipofanyikia usajili wake?
 
Back
Top Bottom