Nimi ninaoffice zangu za uwakala office mbili nina machine za nmb na zingine hazina machine, zina nmb mkononi.tofauti naiyona kwenye commission ...office zenye machine kila machine inalaza karibu 400000 kwa mwezi while zinazotumia simu zenyewe zinalaza 70 mpaka 80 hapo imejitahidi. Machine inauwezo wakulipa vitu vingi vinavyohitaji risiti...pia hii ya mkononi ni complicated sana kwa wakala na mteja.