Mashirika 14 yameitia hasara Serikali kiasi cha Tsh. Bilioni 183.6

Mashirika 14 yameitia hasara Serikali kiasi cha Tsh. Bilioni 183.6

Ww ukitengeneza chapati kwa gharama ya 100000 mauzo yakawa 70000 .unanakuwa umekula hiyo 30000??? Chuki na waliosoma we ukiwa unavuta bangi secondary haikufai
Sijaelewa hata umeandika nini ? Takataka gani hii hivi 1M unaifananisha na billion umesoma wapi wewe wa kujitia msomi ? Emu andika tena upya au ushazimua tayari mda huu ?

Umeandika ujinga ndio maana mnaitwa pumbavu stupid na upumbavu wenyewe ndio km huo uliouandika au huoni?
 
Jamani Kuna Mtu ameshayaona au yasikiavhayo Mashirika 14???
Naona Tuu TTCL na Reli tuu?
Mengine???[emoji2368][emoji2368]
 
Sijaelewa hata umeandika nini ? Takataka gani hii hivi 1M unaifananisha na billion umesoma wapi wewe wa kujitia msomi ? Emu andika tena upya au ushazimua tayari mda huu ?

Umeandika ujinga ndio maana mnaitwa pumbavu stupid na upumbavu wenyewe ndio km huo uliouandika au huoni?
Uzuri wa jamii forum mnakuwa salama kujibu jibu.lakini la maana ni tunapata uwezo kufunzana .
Unaamini mifumo na mbinu za kuilinda biashara ya billion n'a ya milion inatofautiana???
 
Uzuri wa jamii forum mnakuwa salama kujibu jibu.lakini la maana ni tunapata uwezo kufunzana .
Unaamini mifumo na mbinu za kuilinda biashara ya billion n'a ya milion inatofautiana???
Kuna utofauti kwa kiasi chake ingawa zote NI pesa Ila hazifanani mradi wa billion 500 hauwezi kulingana na mradi wa million 500 habadani,
 
Wazee wapishe ofisini, zile shangingi wanazopewa wakuu wa taasisi na mashirika zinadumaza kuleta mabadiriko chanya
 
Vitu vingine bwana hivi serikali ipate faida au hasara hivi inanisaidia au kunipunguzia nini hasa?
 
Kwahiyo hii hasara ya Billions 183 kwa mashirika zaid ya kumi ni sawa na ile OVER INVOICE $ 87 MILLION iliyo lipwa BOING kweli Nchi ina hela hasa ......over INVOICE Zipo nyingi sana TZ hili jambo lipo toka zamani hata alipo kuwapo JPM na ndio njia rahisi ya kupata hela na hii mara nyingi hutumika kwa ajili kuipa hela CCM sasa MANYANG'AO hutumia loop hole sababu hela ya serikali huwa haipotee ikisha kusanywa record zina baki hata zaid ya miaka 10 njia rahisi kuitoa na kupata justification ni kulipa malipo hewa .

Ndio maana lile Zimwi la 1.5 Trillion la JPM lipo hadi dunia inakwisha sababu hazijulikana zilifanya nini? Sababu hela ya serikali ikisha kusanywa record zinabaki hazifutiki.

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
 
kw
Kweli walaji ndo wapiga kelele mitandaoni...ripoti imekosa umaarufu kabisaa pamoja na mdudu yote.

Wasingekuwa sehemu ya madudu, na angekuwepo aliyewazibia, kazi ingekuwa moja tu leo...mtandao ungesumbua kwa kufurika makasiriko

Lakini keo kimyaaaaaa;
  • Starz katudhalilisha
  • Taa za uwanja zikamhanithi mtu uwanjani,
  • Ripoti haina jema
  • Bukoba kule haisemwi ukweli
  • Bima ya afya taabuni
  • Ghala za chakula zimefunguliwa, nafaka zazidi kupaa bei
  • Petrol iko karibu na 3,000
  • Uwezo wa milo mi3 umetoweka
  • Mikopo yakufa mtu inaishia kwa walamba asali

Lakini kimyaaaaa kama hamna kitu, ushoga na usagaji washika hatamu, Kamara sio mmoja wao kweli?

Tuendelee tu kumsakama marehemu, pengine tutarudi uchumi wa kati kwa kumtukana yeye.
kwamba unataka kusemaje labda?kwamba marehemu alikuwa bora au?
 
Kuna utofauti kwa kiasi chake ingawa zote NI pesa Ila hazifanani mradi wa billion 500 hauwezi kulingana na mradi wa million 500 habadani,
Pole ni ngumu kukuelimisha kwa kiwango cha cha darasa la saba.
 
Mashirika 14 ya umma ya kibiashara yamepata hasara katika uendeshaji. Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imeonesha.

Akizungumza wakati wa uwasilishaji wa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, CAG Charles Kichere amesema utafiti huo ni katika tathmini ya miaka miwili.

Shirika la Reli Tanzania (TRC) lilipata hasara ya Sh bilioni 22.8 mwaka 2020/21 na mwaka 2021/22 lilipata hasara ya Sh bilioni 31.2. Kampuni ya Mkulazi ilipata hasara ya Sh bilioni 5.8 mwaka 2020/21 na mwaka uliofuata ilipata hasara ya Sh bilioni 14.3.

Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) lilipata hasara ya Sh bilioni 26.3 mwaka 2020/21 na mwaka 2021/22 lilipata hasara ya Sh bilioni 11.9.

Kwa mwaka 2020/21, Shirika la Ndege nchini (ATCL) ilipata hasara ya Sh bilioni 36.1 na mwaka 2021/22 Shirika lilipata hasara ya Sh bilioni 35.2.

Zaidi Soma >>>> News Alert: - Rais Samia apokea Ripoti za CAG na TAKUKURU za Mwaka 2021/2022

Mkuu samahani Unaweza Kuyaweka Hapa Hayo Mashirika 24?
mi Nimeona 3 Tuu![emoji30]
 
Hizo ni hasara au watu wanakula ? Emu tuache kufanyana km WATOTO sema shirika hili watu walikula billion 26, shirika hili watu walikula billion 31, nk sio kusema hasara wakati pesa zinaliwa
Tuliyasema haya enzi zile wakati Mashirika hayo hayo yakitoa gawio kwa Serekali kama sehemu ya faida ambayo walipata kwa mwaka husika. Tuliliona hilo kama kiinimacho tu kutupumbaza. Ukweli ni kwamba walikuwa wakipata hasara lakini kwa kuchelea kutumbuliwa wakawa wanakusanya fedha na kuipa Serikali wakidai ni sehemu ya faida waliyoipata. Sasa mambo yapo hadharani. Huo ndo ukweri!
 
Pole ni ngumu kukuelimisha kwa kiwango cha cha darasa la saba.
Ndio maana mnaitwa pumbavu stupid tatizo ni kujifanya kujua kwingi na mnajifanya mmesoma sana mwisho mnaboronga na kuibia watu, eti utengeneze kwa 1,000,000 alafu uuze kwa 700,000 una akili wewe? kilaza unaejifanya umesoma umesoma umesomea nini kuingia hasara ndio ulichosomea?

Alafu eti ulivyo zuzu eti unauliza 300,000 imeenda wapi ndio mnavyofundishwa huko jinsi ya kujitetea wizi wenu muwe mnajitetea hivyo?

Pumbavu stupid haiwezekani wizi wa namna hii hatuutaki hata mtoto wa darasa la pili anakushtukia huwezi ukaniambia unatengeneza kwa 1,000,000 alafu eti unasema ukauza kwa 700,000 afu nikakuchekea umepoteza 300,000 kwa kuila na zingine umekula wewe ni mwizi tu km wezi wengine mwizi mkubwa inabidi uchunguzwe na TAKUKURU TZ
 
Back
Top Bottom