Mashirika 14 yameitia hasara Serikali kiasi cha Tsh. Bilioni 183.6

Ndio maana mnaitwa pumbavu stupid tatizo ni kujifanya kujua kwingi na mnajifanya mmesoma sana mwisho mnaboronga na kuibia watu, eti utengeneze kwa 1,000,000 alafu uuze kwa 700,000 una akili wewe? kilaza unaejifanya umesoma umesoma umesomea nini kuingia hasara ndio ulichosomea?

Alafu eti ulivyo zuzu eti unauliza 300,000 imeenda wapi ndio mnavyofundishwa huko jinsi ya kujitetea wizi wenu muwe mnajitetea hivyo?

Pumbavu stupid haiwezekani wizi wa namna hii hatuutaki hata mtoto wa darasa la pili anakushtukia huwezi ukaniambia unatengeneza kwa 1,000,000 alafu eti unasema ukauza kwa 700,000 afu nikakuchekea umepoteza 300,000 kwa kuila na zingine umekula wewe ni mwizi tu km wezi wengine mwizi mkubwa inabidi uchunguzwe na TAKUKURU TZ
Hujagundua unaandika sana mm kidogo na wewe unafoka na jasho hapo mbagala mm nko posta kwenye ac
 
Mashirika 14 ya umma ya kibiashara yamepata hasara katika uendeshaji. Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imeonesha.

Akizungumza wakati wa uwasilishaji wa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, CAG Charles Kichere amesema utafiti huo ni katika tathmini ya miaka miwili.

Shirika la Reli Tanzania (TRC) lilipata hasara ya Sh bilioni 22.8 mwaka 2020/21 na mwaka 2021/22 lilipata hasara ya Sh bilioni 31.2. Kampuni ya Mkulazi ilipata hasara ya Sh bilioni 5.8 mwaka 2020/21 na mwaka uliofuata ilipata hasara ya Sh bilioni 14.3.

Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) lilipata hasara ya Sh bilioni 26.3 mwaka 2020/21 na mwaka 2021/22 lilipata hasara ya Sh bilioni 11.9.

Kwa mwaka 2020/21, Shirika la Ndege nchini (ATCL) ilipata hasara ya Sh bilioni 36.1 na mwaka 2021/22 Shirika lilipata hasara ya Sh bilioni 35.2.

Zaidi Soma >>>> News Alert: - Rais Samia apokea Ripoti za CAG na TAKUKURU za Mwaka 2021/2022
Halafu kuna mwamba kasepa na 50B DAAAH ASEEE HII NOMA KWELIKWELI 😁😁😁
 
Ndio maana mnaitwa pumbavu stupid tatizo ni kujifanya kujua kwingi na mnajifanya mmesoma sana mwisho mnaboronga na kuibia watu, eti utengeneze kwa 1,000,000 alafu uuze kwa 700,000 una akili wewe? kilaza unaejifanya umesoma umesoma umesomea nini kuingia hasara ndio ulichosomea?

Alafu eti ulivyo zuzu eti unauliza 300,000 imeenda wapi ndio mnavyofundishwa huko jinsi ya kujitetea wizi wenu muwe mnajitetea hivyo?

Pumbavu stupid haiwezekani wizi wa namna hii hatuutaki hata mtoto wa darasa la pili anakushtukia huwezi ukaniambia unatengeneza kwa 1,000,000 alafu eti unasema ukauza kwa 700,000 afu nikakuchekea umepoteza 300,000 kwa kuila na zingine umekula wewe ni mwizi tu km wezi wengine mwizi mkubwa inabidi uchunguzwe na TAKUKURU TZ
Rudi shule .hela najua uhakika huna basi kuwa hata na form 4 tu
 
Hizo ni hasara au watu wanakula ? Emu tuache kufanyana km WATOTO sema shirika hili watu walikula billion 26, shirika hili watu walikula billion 31, nk sio kusema hasara wakati pesa zinaliwa
Mkuu nilitaka kuoji swali langu kwa mtindo kama wako...inashangaza sana mashirika yapo kazi yanafanya ila utasikia shirika flani limetia hasara,hiyo hasara inapatikanaje?
 
Mashirika 14 ya umma ya kibiashara yamepata hasara katika uendeshaji. Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imeonesha.

Akizungumza wakati wa uwasilishaji wa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, CAG Charles Kichere amesema utafiti huo ni katika tathmini ya miaka miwili.

Shirika la Reli Tanzania (TRC) lilipata hasara ya Sh bilioni 22.8 mwaka 2020/21 na mwaka 2021/22 lilipata hasara ya Sh bilioni 31.2. Kampuni ya Mkulazi ilipata hasara ya Sh bilioni 5.8 mwaka 2020/21 na mwaka uliofuata ilipata hasara ya Sh bilioni 14.3.

Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) lilipata hasara ya Sh bilioni 26.3 mwaka 2020/21 na mwaka 2021/22 lilipata hasara ya Sh bilioni 11.9.

Kwa mwaka 2020/21, Shirika la Ndege nchini (ATCL) ilipata hasara ya Sh bilioni 36.1 na mwaka 2021/22 Shirika lilipata hasara ya Sh bilioni 35.2.

Zaidi Soma >>>> News Alert: - Rais Samia apokea Ripoti za CAG na TAKUKURU za Mwaka 2021/2022
Halmashauri mnatulipa mishahara kiduchu sababu eti hatuingizi tunatumia. Ila hao wanaoingiza hasara mishahara minono na posho. Endeleeni tu kuwaongezea perdiem
 
Mashirika 14 ya umma ya kibiashara yamepata hasara katika uendeshaji. Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imeonesha.

Akizungumza wakati wa uwasilishaji wa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, CAG Charles Kichere amesema utafiti huo ni katika tathmini ya miaka miwili.

Shirika la Reli Tanzania (TRC) lilipata hasara ya Sh bilioni 22.8 mwaka 2020/21 na mwaka 2021/22 lilipata hasara ya Sh bilioni 31.2. Kampuni ya Mkulazi ilipata hasara ya Sh bilioni 5.8 mwaka 2020/21 na mwaka uliofuata ilipata hasara ya Sh bilioni 14.3.

Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) lilipata hasara ya Sh bilioni 26.3 mwaka 2020/21 na mwaka 2021/22 lilipata hasara ya Sh bilioni 11.9.

Kwa mwaka 2020/21, Shirika la Ndege nchini (ATCL) ilipata hasara ya Sh bilioni 36.1 na mwaka 2021/22 Shirika lilipata hasara ya Sh bilioni 35.2.

Zaidi Soma >>>> News Alert: - Rais Samia apokea Ripoti za CAG na TAKUKURU za Mwaka 2021/2022
Muhimbili inahitaji 6b kuwatibu wagonjwa wa magonjwa dume kama saratani na figo lkn wagonjwa wanalipishwa na masikini wanapokuwa kizuizini hadi alipe deni.

Muhimbili inahitaji 90b kutibu wagonjwa wote bure kama inavyotibu wagonjwa wa ukimwi na savita unga bure.

Pesa za kutoa huduma bure; lkn mfumo uliopo ni mfumo wa kundi dogo la familia (wanajeshi wastaafu) zisizozidi 50 wakiongozwa na mzee wa Msg kufuja pesa, kugawana na kulindana.

Huku watz wakitengenezwa kiakili waamini usimba na uyanga ni muhimu kujadili kuliko masuala ya uongozi
 
Back
Top Bottom