Sijaelewa hata umeandika nini ? Takataka gani hii hivi 1M unaifananisha na billion umesoma wapi wewe wa kujitia msomi ? Emu andika tena upya au ushazimua tayari mda huu ?Ww ukitengeneza chapati kwa gharama ya 100000 mauzo yakawa 70000 .unanakuwa umekula hiyo 30000??? Chuki na waliosoma we ukiwa unavuta bangi secondary haikufai
Uzuri wa jamii forum mnakuwa salama kujibu jibu.lakini la maana ni tunapata uwezo kufunzana .Sijaelewa hata umeandika nini ? Takataka gani hii hivi 1M unaifananisha na billion umesoma wapi wewe wa kujitia msomi ? Emu andika tena upya au ushazimua tayari mda huu ?
Umeandika ujinga ndio maana mnaitwa pumbavu stupid na upumbavu wenyewe ndio km huo uliouandika au huoni?
Kuna utofauti kwa kiasi chake ingawa zote NI pesa Ila hazifanani mradi wa billion 500 hauwezi kulingana na mradi wa million 500 habadani,Uzuri wa jamii forum mnakuwa salama kujibu jibu.lakini la maana ni tunapata uwezo kufunzana .
Unaamini mifumo na mbinu za kuilinda biashara ya billion n'a ya milion inatofautiana???
Hujaona yametajwa hapo aisee au we unamsomaje ?Jamani Kuna Mtu ameshayaona au yasikiavhayo Mashirika 14???
Naona Tuu TTCL na Reli tuu?
Mengine???[emoji2368][emoji2368]
Kumenoga kwa ulajiTTCL Rudi nyumbani kumenoga
Yes ulaji na kujipigia tu, watu wanakula pesa wanajua hata wakifukuzwa hakuna hatua zitachukuliwa zidi yao kwa hio wanaona kula ni halali yao wanakula hadi wanavimbiwaKumenoga kwa ulaji
Hujaona yametajwa hapo aisee au we unamsomaje ?
kwamba unataka kusemaje labda?kwamba marehemu alikuwa bora au?Kweli walaji ndo wapiga kelele mitandaoni...ripoti imekosa umaarufu kabisaa pamoja na mdudu yote.
Wasingekuwa sehemu ya madudu, na angekuwepo aliyewazibia, kazi ingekuwa moja tu leo...mtandao ungesumbua kwa kufurika makasiriko
Lakini keo kimyaaaaaa;
- Starz katudhalilisha
- Taa za uwanja zikamhanithi mtu uwanjani,
- Ripoti haina jema
- Bukoba kule haisemwi ukweli
- Bima ya afya taabuni
- Ghala za chakula zimefunguliwa, nafaka zazidi kupaa bei
- Petrol iko karibu na 3,000
- Uwezo wa milo mi3 umetoweka
- Mikopo yakufa mtu inaishia kwa walamba asali
Lakini kimyaaaaa kama hamna kitu, ushoga na usagaji washika hatamu, Kamara sio mmoja wao kweli?
Tuendelee tu kumsakama marehemu, pengine tutarudi uchumi wa kati kwa kumtukana yeye.
Pole ni ngumu kukuelimisha kwa kiwango cha cha darasa la saba.Kuna utofauti kwa kiasi chake ingawa zote NI pesa Ila hazifanani mradi wa billion 500 hauwezi kulingana na mradi wa million 500 habadani,
Mashirika 14 ya umma ya kibiashara yamepata hasara katika uendeshaji. Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imeonesha.
Akizungumza wakati wa uwasilishaji wa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, CAG Charles Kichere amesema utafiti huo ni katika tathmini ya miaka miwili.
Shirika la Reli Tanzania (TRC) lilipata hasara ya Sh bilioni 22.8 mwaka 2020/21 na mwaka 2021/22 lilipata hasara ya Sh bilioni 31.2. Kampuni ya Mkulazi ilipata hasara ya Sh bilioni 5.8 mwaka 2020/21 na mwaka uliofuata ilipata hasara ya Sh bilioni 14.3.
Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) lilipata hasara ya Sh bilioni 26.3 mwaka 2020/21 na mwaka 2021/22 lilipata hasara ya Sh bilioni 11.9.
Kwa mwaka 2020/21, Shirika la Ndege nchini (ATCL) ilipata hasara ya Sh bilioni 36.1 na mwaka 2021/22 Shirika lilipata hasara ya Sh bilioni 35.2.
Zaidi Soma >>>> News Alert: - Rais Samia apokea Ripoti za CAG na TAKUKURU za Mwaka 2021/2022
Tuliyasema haya enzi zile wakati Mashirika hayo hayo yakitoa gawio kwa Serekali kama sehemu ya faida ambayo walipata kwa mwaka husika. Tuliliona hilo kama kiinimacho tu kutupumbaza. Ukweli ni kwamba walikuwa wakipata hasara lakini kwa kuchelea kutumbuliwa wakawa wanakusanya fedha na kuipa Serikali wakidai ni sehemu ya faida waliyoipata. Sasa mambo yapo hadharani. Huo ndo ukweri!Hizo ni hasara au watu wanakula ? Emu tuache kufanyana km WATOTO sema shirika hili watu walikula billion 26, shirika hili watu walikula billion 31, nk sio kusema hasara wakati pesa zinaliwa
Ndio maana mnaitwa pumbavu stupid tatizo ni kujifanya kujua kwingi na mnajifanya mmesoma sana mwisho mnaboronga na kuibia watu, eti utengeneze kwa 1,000,000 alafu uuze kwa 700,000 una akili wewe? kilaza unaejifanya umesoma umesoma umesomea nini kuingia hasara ndio ulichosomea?Pole ni ngumu kukuelimisha kwa kiwango cha cha darasa la saba.