Mashirika 14 yameitia hasara Serikali kiasi cha Tsh. Bilioni 183.6

Hujagundua unaandika sana mm kidogo na wewe unafoka na jasho hapo mbagala mm nko posta kwenye ac
 
Halafu kuna mwamba kasepa na 50B DAAAH ASEEE HII NOMA KWELIKWELI 😁😁😁
 
Rudi shule .hela najua uhakika huna basi kuwa hata na form 4 tu
 
Hizo ni hasara au watu wanakula ? Emu tuache kufanyana km WATOTO sema shirika hili watu walikula billion 26, shirika hili watu walikula billion 31, nk sio kusema hasara wakati pesa zinaliwa
Mkuu nilitaka kuoji swali langu kwa mtindo kama wako...inashangaza sana mashirika yapo kazi yanafanya ila utasikia shirika flani limetia hasara,hiyo hasara inapatikanaje?
 
Halmashauri mnatulipa mishahara kiduchu sababu eti hatuingizi tunatumia. Ila hao wanaoingiza hasara mishahara minono na posho. Endeleeni tu kuwaongezea perdiem
 
Muhimbili inahitaji 6b kuwatibu wagonjwa wa magonjwa dume kama saratani na figo lkn wagonjwa wanalipishwa na masikini wanapokuwa kizuizini hadi alipe deni.

Muhimbili inahitaji 90b kutibu wagonjwa wote bure kama inavyotibu wagonjwa wa ukimwi na savita unga bure.

Pesa za kutoa huduma bure; lkn mfumo uliopo ni mfumo wa kundi dogo la familia (wanajeshi wastaafu) zisizozidi 50 wakiongozwa na mzee wa Msg kufuja pesa, kugawana na kulindana.

Huku watz wakitengenezwa kiakili waamini usimba na uyanga ni muhimu kujadili kuliko masuala ya uongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…