Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,660
- 4,384
hapo tu ndo panafanya nimuelewe mr jiweNi marafiki wa Awamu ya Tano lakini wanamuogopa sana Omuzilankende Muyago kutokana na kwamba jamaa hapendi kumpigia mtu magoti. Utawala wa sasa sio kama uliopita ambao haukujitokeza kipindi ulipohitajika.
Baada ya kuturingia kutupa mkopo wa kujenga SGR, walishangaa baada ya ku-secure fund huko Uturuki na kwa leo wao ndio wanajileta tena kutaka kushirikiana na Tanzania katika ujenzi wa SGR, tena kwa bei tunayotaka sisi.
Itafahamika tu.
Sio hivyo tu mombasa wanaume wameolewa na wachina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 927687
Bandari ya Mombasa
Hofu imetanda nchini Kenya kufuatia kuwepo kwa taarifa kuwa, Serikali ya Kenya iko mbioni kuuza Mashirika na Makampuni yapatayo 26 nchini humo kwa Wachina ili kupata fedha za kulipia madeni yanayoielemea Nchi hiyo.
Tume ya Ubinafsishaji imeridhia Mashirika ya Serikali 26 kukusanya fedha kwa ajili ya kusaidia bajeti ya Serikali. Miongoni mwao kuna: Benki ya Taifa ya Kenya; Mamlaka ya Bandari ya Kenya; Viwanda vya sukari, nyama na saruji
View attachment 927697
Hivi karibuni, Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta alikuwa nchini China kwa ajili ya mazungumzo ya kibiashara, ambapo China ilitangaza kufungua soko lake kwa ajili ya bidhaa za Kenya. Sasa Wakenya wanahoji, iweje Kenya aruhusiwe pekee huko China, kuna nini Kenyatta alicho-offer kwa Wachina?
Baadhi tayari waneanza kuona ya Zambia yakiingia nchini Kenya, kutokana na mzigo wa madeni hasa kutoka kwa Wachina.
Haya, nyie wanaojidai kuisifia Kenya kwa diplomasia njooni hapa muone faida ya kusafiri kila mara kwenda nje halafu unarudi na mzigo wa madeni.
Kwa haya yanayotokea nchini Kenya, yanathibitisha wazi kuwa, maendeleo huwa hayaletwi kwa sababu Rais ana diplomasia nzuri na anajipendekeza nje. Maendeleo huletwa na usimamizi madhubuti wa mipango mliyojiwekea.
Nafikiria ingekuwa Hali hii ndiyo iko Tanzania, hii taarifa wale waliozaliwa kujua mabaya pekee ya Serikali wangekesha wanashangilia wakidhani anayeumia ni Rais Magufuli na siyo wao. Cha ajabu, kwa hili la Wakenya baadhi ya watu humu nchini wanaumia sana kuiona Kenya katika hali hiyo.
Halafu hawa ndio wanataka waishauri Serikali, never!!!
State to sell 26 companies to finance current budget
Sio hivyo tu mombasa wanaume wameolewa na wachina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah hizi dharauTo my Kenyan brothers and sisters the person who has initiated this thread is a person used by the notorious security personnel of Tanzania
A semi educated former news caster is used as a mouth piece by Tz paranoid security organization
Read between the lines to understand why the ruler of Tz is still upset by the Odinga defeat
Utaona kilio cha magufuli,siku hiyo?Hebu fikiria kuwa, Mamlaka ya Bandari nchini (TPA) inayosimamia Bandari za Dar es Salaam, Tanga na Mtwara, zimechukuliwa na Mchina, itakuwaje hapo?
Unajua mikataba 16 ya siri aliyoingia na JK na wachina? Unajua kwanini Magu hahangaiki na gas? Subir siku unakabidhiwa kwa basha wa kichina utajua mkufunge ndoa kwa Bashite au chattle.
You have upload the picture on the bridge, then how would you expect to resemble to the place where there's no bridge?Tanzania SGR
View attachment 934984
Kenya SGR
View attachment 934985
hehehehe can you spot the difference...
View attachment 934989
Could you pliz watch your SGR in Mombasa your destination and relate to that of Dar es Salaam, Tanzania's destination.Tanzania SGR
View attachment 934984
Kenya SGR
View attachment 934985
hehehehe can you spot the difference...
View attachment 934989
One is complete moja bado computer imageYou have upload the picture on the bridge, then how would you expect to resemble to the place where there's no bridge?
Could you pliz relate Kenyan locomotives to that of Tanzania?View attachment 935025
Kenyan SGR.
View attachment 935026
Tanzanian SGR.
Could you pliz watch your SGR in Mombasa your destination and relate to that of Dar es Salaam, Tanzania's destination.
View attachment 935033
See how luminous our SGR Bridge is.
View attachment 935034
Here it's still under construction.
View attachment 935032
See your SGR in Mombasa with your President.
Tanzania is on fire, more, mo.. mo.. mo.. more fire🔥🔥
Could you pliz watch your SGR in Mombasa your destination and relate to that of Dar es Salaam, Tanzania's destination.
View attachment 935033
See how luminous our SGR Bridge is.
View attachment 935034
Here it's still under construction.
View attachment 935032
See your SGR in Mombasa with your President.
Tanzania is on fire, more, mo.. mo.. mo.. more fire🔥🔥
Could you pliz watch your SGR in Mombasa your destination and relate to that of Dar es Salaam, Tanzania's destination.
View attachment 935033
See how luminous our SGR Bridge is.
View attachment 935034
Here it's still under construction.
View attachment 935032
See your SGR in Mombasa with your President.
Tanzania is on fire, more, mo.. mo.. mo.. more fire🔥🔥
Kazi inaendelea tena kwa kasi kubwa. SGR kutoka Dar - Morogoro ilikuwa ifunguliwe Mwezi Juni 2019, sasa imerudishwa nyuma itakuwa Mwezi April.
Unafananisha mtoto aliyezaliwa na mimba? Hiyo ya Kenya iko kazini wakati ya Tz iko kwenye ujenzi.
onyesha evidence google inasema no link to be shown.. heheheheKazi inaendelea tena kwa kasi kubwa. SGR kutoka Dar - Morogoro ilikuwa ifunguliwe Mwezi Juni 2019, sasa imerudishwa nyuma itakuwa Mwezi April.
Kwa kusuasua kwenu na madeni kibao yanayowazunguka, mmejiaibisha sana kwa just hindwa kujenga kipande cha reli yenu kutoka Kisumu - Malaba na badala yake mnataka Uganda ndiye aingie gharama za ujenzi ndani ya Nchi yenu.
Na mbaya zaidi Rwanda kawatosa baada ya kuwaona hamna swagger kama za Magufuli na Tanzania. Uganda wanatamani wangekuwa karibu na Tanzania kimiundombinu kwani wanawaona nyie kama mbambwela mbwela tu.
Wachina nao wamewashit baada ya kuona jinsi msivyo serious. Kwetu Wachina walijidai kuturingia, tukaanza ujenzi na leo wao ndio wamejileta tena wenyewe.
Ahahhhhh😀😀😀, In Magufuli we ...