Mashirika 26 ya Kenya mbioni kuuzwa kwa Wachina ili kulipia madeni. Zimo Bandari zote, Benki na Viwanda vya saruji.

Mashirika 26 ya Kenya mbioni kuuzwa kwa Wachina ili kulipia madeni. Zimo Bandari zote, Benki na Viwanda vya saruji.

Ni marafiki wa Awamu ya Tano lakini wanamuogopa sana Omuzilankende Muyago kutokana na kwamba jamaa hapendi kumpigia mtu magoti. Utawala wa sasa sio kama uliopita ambao haukujitokeza kipindi ulipohitajika.

Baada ya kuturingia kutupa mkopo wa kujenga SGR, walishangaa baada ya ku-secure fund huko Uturuki na kwa leo wao ndio wanajileta tena kutaka kushirikiana na Tanzania katika ujenzi wa SGR, tena kwa bei tunayotaka sisi.
Itafahamika tu.
hapo tu ndo panafanya nimuelewe mr jiwe
 
View attachment 927687
Bandari ya Mombasa

Hofu imetanda nchini Kenya kufuatia kuwepo kwa taarifa kuwa, Serikali ya Kenya iko mbioni kuuza Mashirika na Makampuni yapatayo 26 nchini humo kwa Wachina ili kupata fedha za kulipia madeni yanayoielemea Nchi hiyo.

Tume ya Ubinafsishaji imeridhia Mashirika ya Serikali 26 kukusanya fedha kwa ajili ya kusaidia bajeti ya Serikali. Miongoni mwao kuna: Benki ya Taifa ya Kenya; Mamlaka ya Bandari ya Kenya; Viwanda vya sukari, nyama na saruji

View attachment 927697

Hivi karibuni, Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta alikuwa nchini China kwa ajili ya mazungumzo ya kibiashara, ambapo China ilitangaza kufungua soko lake kwa ajili ya bidhaa za Kenya. Sasa Wakenya wanahoji, iweje Kenya aruhusiwe pekee huko China, kuna nini Kenyatta alicho-offer kwa Wachina?

Baadhi tayari waneanza kuona ya Zambia yakiingia nchini Kenya, kutokana na mzigo wa madeni hasa kutoka kwa Wachina.

Haya, nyie wanaojidai kuisifia Kenya kwa diplomasia njooni hapa muone faida ya kusafiri kila mara kwenda nje halafu unarudi na mzigo wa madeni.

Kwa haya yanayotokea nchini Kenya, yanathibitisha wazi kuwa, maendeleo huwa hayaletwi kwa sababu Rais ana diplomasia nzuri na anajipendekeza nje. Maendeleo huletwa na usimamizi madhubuti wa mipango mliyojiwekea.

Nafikiria ingekuwa Hali hii ndiyo iko Tanzania, hii taarifa wale waliozaliwa kujua mabaya pekee ya Serikali wangekesha wanashangilia wakidhani anayeumia ni Rais Magufuli na siyo wao. Cha ajabu, kwa hili la Wakenya baadhi ya watu humu nchini wanaumia sana kuiona Kenya katika hali hiyo.
Halafu hawa ndio wanataka waishauri Serikali, never!!!

State to sell 26 companies to finance current budget
Sio hivyo tu mombasa wanaume wameolewa na wachina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
To my Kenyan brothers and sisters the person who has initiated this thread is a person used by the notorious security personnel of Tanzania
A semi educated former news caster is used as a mouth piece by Tz paranoid security organization
Read between the lines to understand why the ruler of Tz is still upset by the Odinga defeat
 
Dah hizi dharau
 
Tanzania SGR
RELI YA KISASA.jpg

Kenya SGR
shawpic.jpg

hehehehe can you spot the difference...
10-drake-05.w600.h315.2x.jpg
 
Unajua mikataba 16 ya siri aliyoingia na JK na wachina? Unajua kwanini Magu hahangaiki na gas? Subir siku unakabidhiwa kwa basha wa kichina utajua mkufunge ndoa kwa Bashite au chattle.

Haya ni Maneno ya Vijiweni. Utaratibu wa mafuta na gesi mbona upo wazi kabisa tu hayo makubaliano ya JK na wachina yanakujaje? huo mkataba amesaini nani?

Tusipotoshane wandugu Kuendesha nchi ni kama kazi nyingine kwahiyo lazima iambatane na changa moto Tena changamoto zake naona ni nyingi zaidi ya kazi zingine.

shida ya raia ni kukubaliana na falsafa ya kiongozi husika kwasababu mara nyingi falsafa hizo haziwezi kuwa na mapokeo sawa kwa kila raia kuna wengine wataumia na wengine watafaidika Tatizo linakuja pale wanapoumia ni wengi kuliko wanaofaidika.

Nafikiri hata sie leo tukisema tunaenda kukopa kwa wachina lazima haya yaliyowatokea wenzetu walioshindwa kulipa yazingatiwe.
 
Could you pliz watch your SGR in Mombasa your destination and relate to that of Dar es Salaam, Tanzania's destination.
View attachment 935033
See how luminous our SGR Bridge is.

View attachment 935034
Here it's still under construction.

View attachment 935032
See your SGR in Mombasa with your President.

Tanzania is on fire, more, mo.. mo.. mo.. more fire🔥🔥

Unafananisha mtoto aliyezaliwa na mimba? Hiyo ya Kenya iko kazini wakati ya Tz iko kwenye ujenzi.
 
Kazi inaendelea tena kwa kasi kubwa. SGR kutoka Dar - Morogoro ilikuwa ifunguliwe Mwezi Juni 2019, sasa imerudishwa nyuma itakuwa Mwezi April.

Kwa kusuasua kwenu na madeni kibao yanayowazunguka, mmejiaibisha sana kwa just hindwa kujenga kipande cha reli yenu kutoka Kisumu - Malaba na badala yake mnataka Uganda ndiye aingie gharama za ujenzi ndani ya Nchi yenu.
Na mbaya zaidi Rwanda kawatosa baada ya kuwaona hamna swagger kama za Magufuli na Tanzania. Uganda wanatamani wangekuwa karibu na Tanzania kimiundombinu kwani wanawaona nyie kama mbambwela mbwela tu.

Wachina nao wamewashit baada ya kuona jinsi msivyo serious. Kwetu Wachina walijidai kuturingia, tukaanza ujenzi na leo wao ndio wamejileta tena wenyewe.

Ahahhhhh😀😀😀, In Magufuli we ...
 
onyesha evidence google inasema no link to be shown.. hehehehe
ab8.jpg

pesa ilimalizwa na cashew nuts...

Africa-UN.jpg
Africa-UN.jpg

Right now
cashew.JPG
 
Back
Top Bottom