Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Hivi kila kilichofanyika wakati wa Magufuli ni lazima kidumishwe?
Kipindi cha Magufuli wahuni wachache ili kulinda nafasi zao wakaona wamkoshe Rais kwa kutoa gawio kwa serikali. Mashirika mengi yanajiendesha kwa hasara, watumishi wana hali ngumu na wale wanaoonekana kuwa super basi wako mahali penye mpenyo wa kukwapua .
Watumishi wa umma wana madeni sio ya kitoto. Mashirika au hizi wakala za serikali ni kama zinapiga mark time.
Rais Samia hebu waambie hao ma CE na DG wayajenge mashirika yao waachane na magawio yasiyo na tija.