Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Kwa trend hii ndani ya miaka 5 tayari atakuwa amekopa kiasi sawa na kile walichokopa wenzake kwa miaka 55Kwahiyo unataka kusema wanaigiza?
Maraisi watano kabla yake wamekopa trilioni 60 kwa miaka 55, yeye kwa miaka 3 kakopa trilioni 39.
Pengine ndo magawiwo yalivyopatikana? Maana, hakuna kilichofanywa tangible!
Unahisi umejieleza vizuri? Mfano, haupati mshahara na stahiki zengine kisa kupelekwa gawio? Haupati mikopo kwa dhamana ya mshahara wako?Hivi kila kilichofanyika wakati wa Magufuli ni lazima kidumishwe?
Kipindi cha Magufuli wahuni wachache ili kulinda nafasi zao wakaona wamkoshe Rais kwa kutoa gawio kwa serikali. Mashirika mengi yanajiendesha kwa hasara, watumishi wana hali ngumu na wale wanaoonekana kuwa super basi wako mahali penye mpenyo wa kukwapua .
Mimi mtumishi wa umma, niko ndani ya moja ya SU, watumishi wa umma wana madeni sio ya kitoto. Mashirika au hizi wakala za serikali ni kama zinapiga mark time.
Rais Samia hebu waambie hao ma CE na DG wayajenge mashirika yao waachane na magawio yasiyo na tija.
Safari hii wataingia ikulu bila wananchi kuridhia uchafuzi
No reform no election
Ndio maama tunataka NRNEHivi kila kilichofanyika wakati wa Magufuli ni lazima kidumishwe?
Kipindi cha Magufuli wahuni wachache ili kulinda nafasi zao wakaona wamkoshe Rais kwa kutoa gawio kwa serikali. Mashirika mengi yanajiendesha kwa hasara, watumishi wana hali ngumu na wale wanaoonekana kuwa super basi wako mahali penye mpenyo wa kukwapua .
Watumishi wa umma wana madeni sio ya kitoto. Mashirika au hizi wakala za serikali ni kama zinapiga mark time.
Rais Samia hebu waambie hao ma CE na DG wayajenge mashirika yao waachane na magawio yasiyo na tija.
Hatuchezi na Oktoba hakuna kutiki
Kuna utofauti baina ya haya mashirika yetu ya Umma yanayofanya vibaya kama TTCL, Reli na ATCL na mashirika ambayo Serikali ana Hisa tu ila hamiliki 100% na mashirika yanajiendesha Kifaida.Hivi kila kilichofanyika wakati wa Magufuli ni lazima kidumishwe?