Mashirika na Taasisi za Umma zinazostahili kufutwa na zile zinazostahili kuunganishwa

Hao wawe taasisi moja hawana cha maana .
 
NIMR imejikita kwenye tafiti za magonjwa ya binadamu.

TMDA imejikita kwenye udhibiti wa madawa ya binadamu na mifugo.

Ebu fikiria tena namna ya kuziunganisha
Zinaungishwa na inawezekana kwa vile vitengo vinaendelea kufanya kazi ndani kwa ndani...
 
Zinaungishwa na inawezekana kwa vile vitengo vinaendelea kufanya kazi ndani kwa ndani...
NIMR inafanya kazi kubwa sana inafaa kuwa Stand alone kwa sababu inafanya utafiti wa Magonjwa, baadhi madawa na imejikita kwenye utafiti wakati TMDA imejikita kwenye ukaguzi, na usimamizi

Bora kama Ingekuwa TMDA na TBS au na MSD
 
Kwenye Sekta Ya Ujenzi:
* AQRB: Architects And Quantity
Surveyors Registration Board.
  • ERB: Engineers Registration Board.
  • CRB: Contractors Registration Board.
 
NIMR inafanya kazi kubwa sana inafaa kuwa Stand alone kwa sababu inafanya utafiti wa Magonjwa, baadhi madawa na imejikita kwenye utafiti wakati TMDA imejikita kwenye ukaguzi..

Bora kama Ingekuwa TMDA na TBS au na MSD
Uko sahihi ! Hao wakaguzi ni kweli wote wawe group moja ...NIMR anaweza kusimama mwenyewe .
 
Naomba tuwe serious, Kama unapenda utani nenda jukwaa la jokes .

Viongozi wa serikali wapo hum Na zipo shuhuda kadhaa zinazoonyesha huwa wanapitiapitia hum kupata ABC sasa sio busara kuleta utani kwenye nyuzi Kama hizi.
Asante sana Mkuu kwa kuliona hilo. Watu wajifunze kutofautisha mijadala. Kama Mtu huna cha kuchangia ni vizuri kusoma na kukaa kimya kwani kuna kitu utakuwa umejifunza.
 
Kwenye Sekta Ya Ujenzi:
* AQRB: Architects And Quantity
Surveyors Registration Board.
  • ERB: Engineers Registration Board.
  • CRB: Contractors Registration Board.
Hapo ni sawa na kusema, JWTZ, POLISI na MAGEREZA liwe jeshi moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…