Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
SafiTCU & NACTE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SafiTCU & NACTE
Hao wawe taasisi moja hawana cha maana .Mkuu kwa haraka haraka nimegundua unafaidika na moja ya Taasisi kati ya TARURA au TANROADS kwahyo ukiona wazo kama hilo la kuziunganisha unaona kama ugali unaingia mchanga...
Mkuu ni kawaida kuogopa mabadiliko ila lazma tufanye mabadiliko kwa ustawi wa maisha ya baadae
Na huo ndo ukwli mchungu unaowatesa wafanyakazi wakeHao wawe taasisi moja hawana cha maana .
Zinaungishwa na inawezekana kwa vile vitengo vinaendelea kufanya kazi ndani kwa ndani...NIMR imejikita kwenye tafiti za magonjwa ya binadamu.
TMDA imejikita kwenye udhibiti wa madawa ya binadamu na mifugo.
Ebu fikiria tena namna ya kuziunganisha
👏👏🙏🆒Kwanini mkuu Unaweza niambie Sehemu gani nimekuwa bure..
Na nilifikiri Tunatoa mawazo sio kujibu mtihani!
So hayo ni mawazo yangu unaweza ukachallenge ukiona unahitaji maelezo zaido
NIMR inafanya kazi kubwa sana inafaa kuwa Stand alone kwa sababu inafanya utafiti wa Magonjwa, baadhi madawa na imejikita kwenye utafiti wakati TMDA imejikita kwenye ukaguzi, na usimamiziZinaungishwa na inawezekana kwa vile vitengo vinaendelea kufanya kazi ndani kwa ndani...
Ongeza na Nani nani Magari!😄😄😄😄Babalevo na mwijaku....kazi zao zinashabihiana sana.
Napendekeza wote wahamishiwe redio kwizera na wapewe kipindi kimoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
LATRA na SUMATRA au ulimaanisha LATRA na TASACLATRA na SUMATRA
TARURA na TANROADS
CCM na CHADEMACCM NA POLISI
😁😁😁😁😁😁😁😁😁CCM NA POLISI
Uko sahihi ! Hao wakaguzi ni kweli wote wawe group moja ...NIMR anaweza kusimama mwenyewe .NIMR inafanya kazi kubwa sana inafaa kuwa Stand alone kwa sababu inafanya utafiti wa Magonjwa, baadhi madawa na imejikita kwenye utafiti wakati TMDA imejikita kwenye ukaguzi..
Bora kama Ingekuwa TMDA na TBS au na MSD
Asante sana Mkuu kwa kuliona hilo. Watu wajifunze kutofautisha mijadala. Kama Mtu huna cha kuchangia ni vizuri kusoma na kukaa kimya kwani kuna kitu utakuwa umejifunza.Naomba tuwe serious, Kama unapenda utani nenda jukwaa la jokes .
Viongozi wa serikali wapo hum Na zipo shuhuda kadhaa zinazoonyesha huwa wanapitiapitia hum kupata ABC sasa sio busara kuleta utani kwenye nyuzi Kama hizi.
Hapo ni sawa na kusema, JWTZ, POLISI na MAGEREZA liwe jeshi moja.Kwenye Sekta Ya Ujenzi:
* AQRB: Architects And Quantity
Surveyors Registration Board.
- ERB: Engineers Registration Board.
- CRB: Contractors Registration Board.
CCM NA POLISI
TAKUKURU inafaa kuwa chombo kimojawapo katika kamisheni ya uangalizi wa kuisimamia na kuidhibiti polisi.TAKUKURU inafaa kuwa kitengo tu chini ya Jeshi la Polisi.
Siyo kweli, mwanzoni ilikuwa TMDA wanaingilia kazi za TBS ndo maana ikatolewa kutoka TFDA kuwa TMDA kwa sasa wapo sahihiTMDA nahisi inaendana na TBS