Mashirika na Taasisi za Umma zinazostahili kufutwa na zile zinazostahili kuunganishwa

Hili geshi kama halitakuwa- restructured basi lihamishiwe ccm makao makuu.
Hata hivyo inasemekana kwamba Jeshi ni Moja tuu nalo ni JWTZ, hao wengine ni taasisi tuu! Sema Tunasafari ndefu bado...
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Kuivunja TAKUKURU au kuiunganjsha kazi zake either na TISS au Polisi ni ngumu na haiwezekani kabisa never na kuwa chombo hiki kikivunjwa jua misaada toka abroad itasitishwa chombo hiki hata kama kina madhaifu yake lakini mama hawezi kukivunja anajua nini kilimfanya akiwa ktk mashirika ya kimataifa ana kiporo chake PCCB even late Magu they are not so integrity
 
Bodi zote zaMazao zinapaswa kuwa bodi moja, na kila zao kuwa kitengo au idara ndani ya mwamvuli unaoitwa bodi ya mazao, hii itapunguza gharama ya kila zao kuwa na bodi.
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
[emoji848][emoji19]
 
[emoji122][emoji122]
 
Bodi zote zaMazao zinapaswa kuwa bodi moja, na kila zao kuwa kitengo au idara ndani ya mwamvuli unaoitwa bodi ya mazao, hii itapunguza gharama ya kila zao kuwa na bodi.
[emoji122][emoji122]
 
Hapana mkuu Mi naona NIMR ndo ingeunganishwa na TPRI siku hizi Imeunganishwa na Maswala ya kilimo Inaitwa TPHPA..
Ila combination ya NIMR na TPRI ingekuwa moto sana
Aaah, kweli TPHPA! Yeah, hata NIMR huku panawafaa maana wote wanashughulika na vimelea vya magonjwa!
 
Huku Shinyanga kuna dude linaitwa KASHUWASA linapaswa kuunganishwa na SHUWASA maana linatuongezea gharama bure tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…