Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hili shirika ni kwa ajii yachama kubwaKuna zimwi linaitwa takukuru, sijui Kwa nini mpaka Leo lipo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili shirika ni kwa ajii yachama kubwaKuna zimwi linaitwa takukuru, sijui Kwa nini mpaka Leo lipo!
Hawatakubali watu wenye majimbo yao ya uchaguzi🤣🤣Tungeanzia hapa DC & DED, tuwe na DED Tu Kwa wilayani
Hahahahaaa... Wawe chama kimoja?CCM NA POLISI
Hili geshi kama halitakuwa- restructured basi lihamishiwe ccm makao makuu.TAKUKURU inafaa kuwa kitengo tu chini ya Jeshi la Polisi.
TMDA nahisi inaendana na TBS
Sa100 na dubaiLatra na ewura
Tmda na fda
Taneso na rea
Tic na brela
Latra na ewura
Tmda na fda
Taneso na rea
Tic na brela
Msajili wa vyama, tume ya uchafuzi, ccm, wakurugenzi wa halmashauri na geshi la policcm waunganishwe kuwa chombo kimoja ili kuongeza ufanisi.Msajili wa Vyama vya Siasa na Tume ya Uchaguzi
Hivi hawa bado wapo? Wanafanya majukumu gani siku hizi?Kuna zimwi linaitwa takukuru, sijui Kwa nini mpaka Leo lipo!
LATRA na TASAC nadhaniLatra na Sumatra kwann wameachwa
Ongeza hapo na bunge na ma-DC na ma-RC... alafu kuna wale jes** la kujenga taifa... sijui wameshajenga nini mpaka sasa?Msajili wa vyama, tume ya uchafuzi, ccm, wakurugenzi wa halmashauri na geshi la policcm waunganishwe kuwa chombo kimoja ili kuongeza ufanisi.
SUMATRA ilishafutwa ikaanzishwa na LATRA na TASACLATRA na SUMATRA
TARURA na TANROADS
Exactly 100%CCM NA POLISI
Umenena vema sana kiongozi.NUKUU.
4: Mageuzi katika utendaji na uendeshaji wa mashirika ya Umma ni zoezi endelevu. Serikali itaendelea kuimarisha mifumo ya kupima na kutathmini utendaji wa Mamlaka na Taasisi za Umma kwa lengo la kuongeza tija katika Maendeleo ya nchi...
Kwa muktadha huo hapo juu, nawiwa na shauku ya kushauri yafuatayo;
# EWURA iunganishwe TPDC.
# Tanzania Fertilizer Co. Iunganishwe na Tanzania Seed Agency.
# Bodi za Mazao zote zingekuwa kwenye wakala/ bodi moja.
# AICC na Tanzania Tourism Board ziungwe
# VETA unga na SIDO.
# Mzinga Cooperation iwe Suma Jkt Construction co.
# Futa RUWASA imarisha Mamlaka za Maji za Maeneo husika.
# TEMESA na TBA zirudi kama zilivyokuwa mwanzo.
# Mamlaka za Mabonde ya Maji/ Mito ziwe chini ya RUWASA kama itaendelea kuwepo.
# NHC iungwe na TBA.
# COASCO ivunjwe na kazi zake pamoja na watumishi wake waende kwa CAG...Vyama vya Ushirika vikaguliwe kama zilivyo taasisi zingine.
# Mamlaka ya Usimamizi wa Nafaka na Mazao Mengine iunganishwe na Wakala wa Taifa wa Uhifadhi wa Chakula.
Nawe umefanya vizuri kwa Uzi huu..japo wapo wanafanya masihara.Umenena vema sana kiongozi.