Mashirika na Taasisi za Umma zinazostahili kufutwa na zile zinazostahili kuunganishwa

Mashirika na Taasisi za Umma zinazostahili kufutwa na zile zinazostahili kuunganishwa

TANAPA ,NCAA, TAWA z

Haya mashirika siyaelewi kabisa
Yaani kuna visheria vya ajabu ajabu kutoka A & B & C hata unaona Aibu kumweleza mgeni
Mfano: mgeni alipe malazi (Camping fees NCAA) kwa night tano; halafu kwa sababu flani flani ashindwe kuja siku ya kwanza; eti ana ambiwa hata zile nne zilizobaki haruhusiwi kuzitumia; alipie tena upya??? SHAME!!!
 
COSTECH, TEMDO na SIDO Wanafanya kazi zinazofanana.
 
Back
Top Bottom