Mashirika ya ndege ya Marekani ya katisha safari za Israel

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Mashirika ya ndege ya Marekani yamekatisha safari za kwenda Israel kwa kuhofia kipigo toka Iran

โšก๏ธ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Airlines are canceling flights to Israel

Starting tomorrow, United Airlines and Delta Airlines will be cancelling all flights to Israel - ynet

 
Kweli waarabu akili zao ni ndogo, wanadhani watashinda Israel kwenye uwanja wa vita? Kuchukua tahadhali ni muhimu sana kwa ndege kuruka, ndege kuruka inaweza kufyatuliwa na kombora la Israel au Iran au Hezibolah. Kama kweli Israel ilihusika kwenye mauaji ya Rais wa Iran, Ismaily Haniya, kuna uwezekano mkubwa wanajeshi wa Israel kuwepo kwenye ardhi ya Iran kwa ajili ya maandalizi ya vita, ukiona Iran hawezi rusha ndege mpaka Israel labda makombora ila Israel anaweza rusha makombora na ndege kushambulia Iran.
 
Eti kuhofia kipigo,[emoji23][emoji23]...wendawazimu !
 
.
Eti kuhofia kipigo,[emoji23][emoji23]...wendawazimu !
Mme wako Netanyahu anahangaika mda huu kwa mabwana zake wamsaidie kupangua makombora ya Iran ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

New York Times: Israel is holding discussions with Arab countries to coordinate air defenses in the region to repel a joint attack by Iran and its allies
 
Acha propaganda wewe! Kama wao wanauwezo wameshindwaje hata kuwakomboa mateka wao alafu waweze kuingia kimya kimya Iran?
 
So what? Just precaution
 
Sasa magaidi ya Urambo huko Tabora yanaelewa somo lako!!!??
 
Hapo wazungu walichofanya ni kuwaonesha walivyo makini, wanajua kuchukua tahadhari ili kuwalinda abiria wao, wao sio wajinga kama wale waarabu waliorusha chopa kwenye ukungu ikaanguka.

Mkumbuke Netanyahu anaendelea kuwatazama magaidi popote walipojificha awatungue, nyie endeleeni kushangilia muamerika amesitisha safari zake halafu mshtukizwe tena na kitu muanze kulia lia kama kawaida yenu.
 
Kwani umeulizwa mbona unapanic kwa kuelezea usichokifahamu
 
Ismail haniey siyo Rais wa Iran. Rekebisha
 
Vamoos...๐Ÿ‘ฝ๐Ÿ‘ฝ๐Ÿ‘ฝ
 
Watu tunasahau au ni mahaba ...Iran c majuzi tuh alimponda Israel missiles za kutosha jamaa kakaaa kimya ndio juzi wamejibu kwa kumuua huyo kiongoz wa hamas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ