CHADEMA nayo ilishauzwa kwa Mzee lowasaNi uchungu sana kuona kwamba rasilimali za taifa, mashirika ya umma na hata utu na uhuru wetu unaendea kuchezewa na wachache au yeyote atakayepewa mamlaka ya urais wa nchi hii. Yaani yeye na watu wake kwa kipindi chake.
Kila rais anayeingia madarakani hupiga pake na kutulia kimya akijua atalindwa na mfumo.
Hizi sera za ubinafsishaji na uwekezaji ni kichaka muhimu sana kwa watawala kuuza rasilimali za nchi na Mali za umma.
Wakoloni hawakutuvamia kijeshi Ili kututawala walitumia mikataba ya kilaghai kwanza na ndicho kinachofanywa hata Leo na wenye akili Ili kuchukua Mali zetu Tena kwa kuwatumia watawala wetu wabinafsi na wajinga.
Sasa wadau hapa tutakuwa tuna weka au kutaja kitaam na kisheria zile rasilimali za nchi au mashirika ya umma ambayo kwa namna Moja yameuzwa au wameonewa wawekezaji kwa miaka mingi na taifa halinufaiki na chochote. Na hapa ni kwa awamu zote SI kwa Samia tu, Ili tuweze kupima ni kwa kiwango au kiasi Gani tumeuzwa na kimebaki nini mikononi mwetu.
Tukianza na:
(1) Hili la bandari zetu kupewa waarabu kwa kisingizio cha uwekezaji na ubinafsishaji.
(2) Loliondo na ngorongoro
(3) NET GROUND
(4) TTCL
(5) ATCL
(6) Migodi mbalimbali n.k
Na mengine mengi wajuzi wa mambo tusaidieni tusiyoyajua.
Ahsanteni sana na karibuni.
Nyie chawa ndio mlivyo Hanna umakini hata kidogo na Mambo ya msingi Ila Mambo ya kijinga ndio mambo yenu, tunajua mama yenu anamalizia kuuza vichache vilivyobaki.CHADEMA nayo ilishauzwa kwa Mzee lowasa
Uelewa wako ni mdogo sana kilichosainiwa na kuridhiwa na bunge ni makubaliano ya kushirikiana kati ya Tanzania na Kampuni ya Dp world sio mkataba, mikataba itakuja baadae kwa ajili kusainiwaNyie chawa ndio mlivyo Hanna umakini hata kidogo na Mambo ya msingi Ila Mambo ya kijinga ndio mambo yenu, tunajua mama yenu anamalizia kuuza vichache vilivyobaki.
Na asiishie hapo auze na ikulu Ili nyie mazombi mkenue vizuri .
Na ujinga huu utadumu wakati ccm ipo madarakani tu, wananchi wakiamua kuwatoa hatutakubaliana na ujuha wa aina hii
Serikalic haifanyi biashara huku akiungia mkstaba na serikali nyingine mbona kitukoNi uchungu sana kuona kwamba rasilimali za taifa, mashirika ya umma na hata utu na uhuru wetu unaendea kuchezewa na wachache au yeyote atakayepewa mamlaka ya urais wa nchi hii. Yaani yeye na watu wake kwa kipindi chake.
Kila rais anayeingia madarakani hupiga pake na kutulia kimya akijua atalindwa na mfumo.
Hizi sera za ubinafsishaji na uwekezaji ni kichaka muhimu sana kwa watawala kuuza rasilimali za nchi na Mali za umma.
Wakoloni hawakutuvamia kijeshi Ili kututawala walitumia mikataba ya kilaghai kwanza na ndicho kinachofanywa hata Leo na wenye akili Ili kuchukua Mali zetu Tena kwa kuwatumia watawala wetu wabinafsi na wajinga.
Sasa wadau hapa tutakuwa tuna weka au kutaja kitaam na kisheria zile rasilimali za nchi au mashirika ya umma ambayo kwa namna Moja yameuzwa au wameonewa wawekezaji kwa miaka mingi na taifa halinufaiki na chochote. Na hapa ni kwa awamu zote SI kwa Samia tu, Ili tuweze kupima ni kwa kiwango au kiasi Gani tumeuzwa na kimebaki nini mikononi mwetu.
Tukianza na:
(1) Hili la bandari zetu kupewa waarabu kwa kisingizio cha uwekezaji na ubinafsishaji.
(2) Loliondo na ngorongoro
(3) NET GROUND
(4) TTCL
(5) ATCL
(6) Migodi mbalimbali n.k
Na mengine mengi wajuzi wa mambo tusaidieni tusiyoyajua.
Ahsanteni sana na karibuni.
Kuingia makubaliano na serikali nyingine ndio biashara?Serikalic haifanyi biashara huku akiungia mkstaba na serikali nyingine mbona kituko
Mkuu mama Samia ni mtanzania na Tanzania haiuziki hakuna bandari iliyouzwa Bali kilifanyika ni uwekezaji wa kawaida Tena kisheriaHili la Samia kuuza bandari kwa waarabu dhambi hii itamtesa sana na hatafanikiwa ktk lolote watanzania watamweka kundi baya sana
Naanza kupata mashaka makubwa kuhusu chanjo za COVID-19 zilizoletwa Afrika, pengine zina athari hasi akilini mwa wachanjwaji. Hii si bure kabisa. Ebu tuzidi kujifunza zaidi kuhusu mashaka haya.Hili la Samia kuuza bandari kwa waarabu dhambi hii itamtesa sana na hatafanikiwa ktk lolote watanzania watamweka kundi baya sana
Ukipinga mikataba ya kilaghai ya kuuza nchi wanakwambia wewe ni mdiniHeshima sana wanajamvi,
Naomba kujuzwa hivi kufungua nchi maana yake kuuza Bandari, kuuza Airport, kuuza mapori yetu na nk.
Unajua nafika mahali nashindwa kujua hawa watawala wetu wanatuona sisi wajingaaaa.
mkataba unasema Tanzania itaijulisha Dubai juu ya fursa zozote zilizopo, na zitakazokuwepo, hili ni tusi kubwa sana.Heshima sana wanajamvi,
Naomba kujuzwa hivi kufungua nchi maana yake kuuza Bandari, kuuza Airport, kuuza mapori yetu na nk.
Unajua nafika mahali nashindwa kujua hawa watawala wetu wanatuona sisi wajingaaaa.