Mashirika ya umma na rasilimali za nchi zinazoendelea kuuzwa kwa kivuli cha mikataba

Heshima sana wanajamvi,

Naomba kujuzwa hivi kufungua nchi maana yake kuuza Bandari, kuuza Airport, kuuza mapori yetu na nk.

Unajua nafika mahali nashindwa kujua hawa watawala wetu wanatuona sisi wajingaaaa.
Ulitaka apewe mamako
 
Tangu lini mwanamke akawa kiongozi?
Hawa walikuwa wanaume, au?Margret Thatcher, Angela Markle, Indira Ghandi, Ms Bandaranaike, Ellen Johnson Sirleaf, Golda Meir, Sheikh Hassina, Jacinda Arden,,.......etc
 
Hao ni wanachama wa CCM?
 
Je, mnawakumbuka hawa watu; Madeni Kipande, Awadhi Massawe, Desdedith Kakoko?

Kama mngejua 1) negligence, 2) mismanagement, 3) laxity, 4) grand corruption inayoendelea pale bandarini, wote tungeungana na serikali kumkaribisha DP world kwa mikono minne.
 
Heshima sana wanajamvi,

Naomba kujuzwa hivi kufungua nchi maana yake kuuza Bandari, kuuza Airport, kuuza mapori yetu na nk.

Unajua nafika mahali nashindwa kujua hawa watawala wetu wanatuona sisi wajingaaaa.
Tupe ushahidi wa hivo vitu kuuzwa?
 
Heshima sana wanajamvi,

Naomba kujuzwa hivi kufungua nchi maana yake kuuza Bandari, kuuza Airport, kuuza mapori yetu na nk.

Unajua nafika mahali nashindwa kujua hawa watawala wetu wanatuona sisi wajingaaaa.
Sio wanatuona wajinga ndio sisi ni wajinga haswaa
 
Uelewa wako ni mdogo sana kilichosainiwa na kuridhiwa na bunge ni makubaliano ya kushirikiana kati ya Tanzania na Kampuni ya Dp world sio mkataba, mikataba itakuja baadae kwa ajili kusainiwa
Kwa ww ndio una akili kuliko waziri wako anayesema ni mkataba.
 
Je, mnawakumbuka hawa watu; Madeni Kipande, Awadhi Massawe, Desdedith Kakoko?

Kama mngejua 1) negligence, 2) mismanagement, 3) laxity, 4) grand unaoendelea pale bandarini, wote tungeungana na serikali kumkaribisha DP world kwa mikono minne.
Kwa hiyo hao serikali ilishindwa kuwathibiti? Hii serikali yenye mamlaka ya kuuza bandari?
 
Back
Top Bottom