Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Chanzo.
Unajua watu wakieleza mnasema hawana hoja ila wanakimbilia imani zao.
Lakini mi nakuambieni ukweli kuwa chanzo cha ushoga ni Roho za ushoga yaani mtu anapagawa na Pepo wanaopenda ushoga bila kujielewa
Utashangaa ukimwona shoga kitu kinasimama, na hata apite mwanamke mrembo kiasi gani nafsi inamchukia haisisimki kabisa
Pia kwa upande wa Mashoga huwa hamu yote inahamia upande wa pili, mpaka aibu unajionyesha wazi kutamani basha
Shoga au basha haonyeki hata ufanye nini hana uwezo wa kuacha, Mapepo ya ushogabasha huwa yametawala nafsi yake.
Wakiruhusiwa na Serikari utaona wanapigana busu hadharani bila chembe ya aibu, kwa mtu usiyejua chanzo atashangaa na kulaani tu. Shoga anaringa kupita mwanamke
Jambo hili pia lipo kwa wasagaji
Dawa yake iko moja tu
Kama nduguyo ni wa jamii hiyo dawa yake ni kumshawishi umpeleke kwa Viongozi wa dini waliosimama ili aombewe.
Kila shoga au basha au msagaji ana mapepo amini usi amini
Ivi unawezaje kumpenda mwanamume mwenzako kama Mume au Mke ?
Au mwanamke kwa mwanamke mwenziwe ?
Dawa ya watu hao ni kufanyiwa maombezi kwa wachungaji waliosimama kama Mwalimu MWAKASEGE nasio hao wachumia tumbo
La sivyo
Utapiga, utasema, utalaani, utafanya uwezavyo shoga au basha au msagaji hana ujanja wa kuacha hiyo tabia, bila kuliondoa pepo linalomtia roho hiyo chafu
Amini na Kweli