Tetesi: Mashoga jijini Dar wajianda kutaja majina ya wateja wao; wamo vigogo wazito.

Wacha waumbuane ! Hovyo kabisa mijitu hii !
 

Ahahaha kumbe ndio lengo la kuanzisha harakati hizo? yaani kila kitu mnachoanzisha lazima lengo lake lijulikane mapemaaa!!
1. Madawa ya kulevya tukasikia wametajwa Mbowe, mara akatajwa Gwajima
2. Kutelekeza watoto tukaona katajwa Lowassa na Msigwa
3. Katekwa Roma kilichofuata ni aibu
4. Katekwa Mo kilichofuata ni aibu
5. Cloud ilivamiwa matokeo aibu
6. Na hili nimeishajua ni akina nani watakaotajwa kwani kuna ka clip kapo mitandaoni kuna mama eti alikuwa demu wa Sugu eti anaongea kuwa eti wakati akiwa na mahusiano na Sugu eti Sugu alikuwa anamla Shoga fulani.

Yaani mnatia aibu aisee si mpange mambo ya maana kuleta maendeleo ya nchi kuliko huu ujinga?
 
Unasema wanajiandaa kutaja...Sasa umejuaje wamo vigogo!!??

Au wewe ni miongoni mwa wanaojiandaa kutaja!?? Lol
 
Natamani msiwataje bila kuwa na press haswa kutoka BBC na CNN na Aljazira. Ukiponzwa na kina Ayo imekula kwako. Tafuta hawa wakubwa wenye uwezo wao.
Amueni muwataje ili mpewe vyeti vya kusukumwa mchana peupe mitaa ya Samora kwa wakubwa. Hii ndio fursa pekee msiiachie. Itisheni press kesho hadi Makonda awaombe msamaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…