Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Konda akitajwa?DJ akitajwa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanasema hivyo baada ya serikali kukanusha kumtuma pimbi.Wasalam, kuna taarifa kwamba baadhi ya mashoga wamedhamiria kutaja hadharani majina ya wanaume wanaotoka nao kimapenzi endapo watakamatwa na kuhojiwa. Inaelezwa kwamba wamo vigogo wazito kutoka secta binafsi, serikalini na baadhi ya taasisi za kidini.
Naona kama picha ndo linaanza zijajua mwisho tuendelee kuangalia.
Kutaja sio kazi, hata Jiwe anaweza kutajwa
Ndio vibundukiVigogo Ndiyo Nani Hao