Mashoga na wasagaji ndani ya tansoma hotel

Mashoga na wasagaji ndani ya tansoma hotel

SMART1

Senior Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
133
Reaction score
48
Kwa habari nilizozipata just now,
mashoga na wasagaji wa Tanzania wako kwenye kikao cha kujadili haki zao ndani ya ukumbi wa mikutano uliopo Tansoma hotel.
THIS IS TOO MUCH
 
Too much kivipi? Kama wananyanyaswa wasidai haki zao za kiraia?
 
Nadhani mtowa taarifa anaweza kuwa mmoja wao! ama msagaji au shoga au hata ana shoga wake ndani ya kikao!!
 
Tansoma a k a Tanzania Somalia ya wale maharamia wa kisomali.
 
Kuna mdau amefikia kwenye hiyo Hotel ndio amenipatia habari hiyo. nimeambiwa watakuwepo hapo kwa wiki hii yote
 
Arafat, niwie radhi ndugu.... hakuna kitu ninachochukia kama kuona mwanaume anaendewa kinyume na maumbile. Ni taarifa tu nimeona niwashirikishe. So heshima kidogo hata kama mtu humjui.....

Samahani sana Mkuu; naomba ukubali kunisamehe SMART1; nilikuwa najaribu kukutibua nijue umefahamu vipi hizi habari za hawa punguwani Pole kama nimekukwaza.
 
Ahhh well kuwachukia hakuongezi wala kupunguza chochote.Wapo na wataendelea kuwepo kwahiyo waacheni tu wajitetee....hata waaAfrika walivyokaa vikundi kupanga jinsi ya kujikomboa na kutafuta haki zao dhidi ya mkoloni wazungu waliwabeza na hawakufurahia.
 
Duh!kumbe mashoga wana haki zao za kishoga!

Nadhani unyanyaswaji na kubaguliwa ni ukiukwaji wa haki za msingi za binadamu bila kujali mwelekeo wa kijinsia, rangi, chanzo cha utaifa, dini, na kadhalika.
 
Nadhani unyanyaswaji na kubaguliwa ni ukiukwaji wa haki za msingi za binadamu bila kujali mwelekeo wa kijinsia, rangi, chanzo cha utaifa, dini, na kadhalika.
Hizo habari kawambie wazee wa "dont ask dont tell" hii ni tz hatutaki ujinga ujinga kama huu!
 
Yaah this is a mix grill! Wabunge wakimgalagaza Ngereje alete umeme na haki za wachimbaji wadogo, mashoga na ******* nao wana vikao vyao!

Nilikuwa napita tu!
 
Back
Top Bottom