Nimeishawahi kuishi na Mashoga wengi tu miaka ya nyuma na walikuwa wananifahamu mimi na Mke wangu na hata Msimamo wangu wa Kiafrica ingawa kidogo umebadilika - Msinibugudhi, Sintawabugudhi.
Mashoga wengi si kwamba wanakuwa Pair kwa sababu ya Kubanjuana. Itakuwa sawa na mtu aseme kuwa ameowa kwa lengo la kubanjuana kila siku na mkewe. Kwenye maisha kuna zaidi ya kubanjuana.
Tuseme ukweli kuwa, Wanawake ni Viumbe wagumu sana kuishi nao (siyo wote lakini) na hasa ukichukulia na mabadiliko yao ya mwilini yanayotokea kila mwezi. Kuna wanaume wengine hiyo tabia huwa inawashinda na hapo anaamua kuwa na Rafiki Mwanamme. Hata kwa hapa Tanzania, mara nyingi utakuta urafiki wa Mwanamme na Mwanammme ni ule Urafiki kweli ila wa Mwanaume na Mwanamke mara nyingi unaishia Kubanjuana.
Sasa kwa wale wanaoona kuwa na urafiki na Mwanemke ni matatizo na hawajui hata kuongea nao, mara nyingi wanaishia kwa na RAFIKI WA KIUME ambaye anakuwa ni rafiki wa kimaisha (kama wengi wetu hapa Tanzania) na Rafiki Kitandani maana mwisho wa Siku, mwili una mahitaji yake. Na hawa ndiyo wale PURE GAY wanaojiheshimu kama Sir Elton John ambaye ana huyo Rafiki wake wa siku nyingi sana na hadi leo wapo pamoja.
Ila pia kuna GAY Malaya kama alivyokuwa kaka yetu Freddy Mercury (Mzanzibar). Hawa kwa Tanzania tumewagawanya na kuwaita Mabasha na WasengeNYAJI ila wenzetu wanaita Gay tu (Kichekesho kidogo: Tunajifanya watakatifu sana ila hadi majina tumeshaweka, Mabasha na WasengeNYAJI).
Mtu kama George Michael, hadi akaja kukamatwa chooni anamfundisha mtu Kichina ( kutoka makala ya
Boflo ). Hawa ni kesi nyingine kabisa. Ila na wao wanaanza katika stage ile ile kuwa anapenda kuwa kwenye Mahusiano na Mwanaume muda wote na kwa kila kitu zaidi ya Mwanamke. Hadi mwishoni anakuwa MALAYA wa ngono za Ki-Gay. Hawa mara nyingi ni Wakorofi sana na wepesi sana kupigana na hawawapendi kabisa Wanawake (hasa -------) kwa sababu wanawaharibia sana SOKO LAO.
Gays wenye Permanet Partiners, ni Wastaarabu sana na unakuta wana marafiki wengi wa Kike na mara chache sana kusikia wamefanya fujo au kupigana ovyo.
Anyway, kwangu mie huwa nasema hii inatokana na mwili wa Binadamu unapoanza kuumbwa, kuna vitu vingi sana vinatokea kutokea KICHURA kinapotoka kwa Mwanaume na kuingia kwenye YAI na Process inaanza, chochote chaweza kutokea na mtoto akazaliwa akili zimepinda. Pia kutokana na maendeleo yaliyopo sasa, vyakula tunavyolishwa vya ajabu ajabu, Mionzi ya Fukushima na Charnobil nk lazima watoto wazaliwe wamepinda kiakili.
Pia la mwisho ni kuwa TUMEKUWA wengi sana duniani kwa sasa na NATURE huwa ina jinsi yake ya kupunguza watu au wanyama wakizidi sehemu fulani. Zamani kulikuwa na Magonjwa na Vita ila sasa AIDS wenyewe tunaizua sana tu sasa lazima NATURE itoke kivingine ili kupunguza watu.
Mashoga, AIDS, Watu kugoma kuzaa, mbegu za uzazi kupungua au kukosekana kabisa nk..... Lazima tupungue.
Mkuu Rutashubanyuma,
Nazani hata nawe huna ufahamu katika mambo haya(kuingiliana kinyume na maumbile) sawa na mimi au wengi wetu! Wale wenye uzoefu watujuze. Hoja yangu ni kwamba, inasemekana ile sehemu inabana ile mbaya na ndio maana mabaradhuli wanapendelea huko kwenye mminyo! So, kama kupo tight kiasi hicho, hivi kweli mtu anaweza kutumia Condom?! Katika hali kama hiyo mtu si anaweza kuiacha Condom huko huko ndani au ikanasa na uume ukatoka wenyewe wakati Kondom imenasia uchochoroni?!