Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
- Thread starter
- #41
ruta has ruined my sunday.![]()
anyways kuna lube inayorahisisha matumizi na sio kweli condom inaweza kuchomoka (lol). high prevalence iko kwa vijana wadogo (18-25) na wale waliooa wanawake na kwenda nje kwa siri. hawa hawajui safe sex practices na hujiweka hatarini kuliko wengine
Blaine acha kuhalalisha dhambi.............ukona Muumba anakuamuru kitu uache bora uache au dhambi itakurekebisha na hapo ndipo kutakuwa na kilio na kusaga meno.....