Mashoga wa kiume uingereza waongoza kwa maambukizi ya ukimwi....

Mbona hata Tz mashoga wapo, tena wagonjwa kabisa yaani hawafai hata kuwasogelea japo wanasema tusiwanyapae.
Yaani mtu unakubali kufanya mapenzi na mwanaume mwenzako!!!!
Ama kweli Dunia imeharibika, sasa tunarudi enzi zile za Sodoma na Gomora.

saudari la ajabu idadi inayopenda huu uchafu inazidi kuongezeka..........
 
Kama ni mashoga hata wote wakiwa na ngoma siyo mbaya..! Tena itakuwa poa zaidi kama watakufa wote

Santo tatizo hadi wafikie kufa wanaacha wametujeruhi ile mbaya..........................kutokan ana tamaa yetu ya kula hata ambavyo haviliki!
 
Hebu angalia hata mapadre huko Italia wanatembelea baa za mashoga ili kupata huduma sasa khali hii kuna wa kupona khapo?



Jisomee hapo chini kwa ufahamu wa ziada:-



[h=1]A black pope could result in mixed message over priestly celibacy[/h] Objections to homosexuality would clash with cultural suspicions of a man without a woman in his life
 
ruta has ruined my sunday :A S angry:.
anyways kuna lube inayorahisisha matumizi na sio kweli condom inaweza kuchomoka (lol). high prevalence iko kwa vijana wadogo (18-25) na wale waliooa wanawake na kwenda nje kwa siri. hawa hawajui safe sex practices na hujiweka hatarini kuliko wengine
 

Siyo Zenji tu sasa hivi bongo kila sehemu kumejaa mashoga mpaka wa masai na wakurya hii tabia sijui nani kuambikiza.
 
Mungu atunusuru na balaa hili..Halafu mashallah wanakua wazuri sura umbo mpaka tumbo linaniuma nikiona kijana namna hiyo wallah...
 
Nimeishawahi kuishi na Mashoga wengi tu miaka ya nyuma na walikuwa wananifahamu mimi na Mke wangu na hata Msimamo wangu wa Kiafrica ingawa kidogo umebadilika - Msinibugudhi, Sintawabugudhi.

Mashoga wengi si kwamba wanakuwa Pair kwa sababu ya Kubanjuana. Itakuwa sawa na mtu aseme kuwa ameowa kwa lengo la kubanjuana kila siku na mkewe. Kwenye maisha kuna zaidi ya kubanjuana.
Tuseme ukweli kuwa, Wanawake ni Viumbe wagumu sana kuishi nao (siyo wote lakini) na hasa ukichukulia na mabadiliko yao ya mwilini yanayotokea kila mwezi. Kuna wanaume wengine hiyo tabia huwa inawashinda na hapo anaamua kuwa na Rafiki Mwanamme. Hata kwa hapa Tanzania, mara nyingi utakuta urafiki wa Mwanamme na Mwanammme ni ule Urafiki kweli ila wa Mwanaume na Mwanamke mara nyingi unaishia Kubanjuana.

Sasa kwa wale wanaoona kuwa na urafiki na Mwanemke ni matatizo na hawajui hata kuongea nao, mara nyingi wanaishia kwa na RAFIKI WA KIUME ambaye anakuwa ni rafiki wa kimaisha (kama wengi wetu hapa Tanzania) na Rafiki Kitandani maana mwisho wa Siku, mwili una mahitaji yake. Na hawa ndiyo wale PURE GAY wanaojiheshimu kama Sir Elton John ambaye ana huyo Rafiki wake wa siku nyingi sana na hadi leo wapo pamoja.

Ila pia kuna GAY Malaya kama alivyokuwa kaka yetu Freddy Mercury (Mzanzibar). Hawa kwa Tanzania tumewagawanya na kuwaita Mabasha na WasengeNYAJI ila wenzetu wanaita Gay tu (Kichekesho kidogo: Tunajifanya watakatifu sana ila hadi majina tumeshaweka, Mabasha na WasengeNYAJI).

Mtu kama George Michael, hadi akaja kukamatwa chooni anamfundisha mtu Kichina ( kutoka makala ya Boflo ). Hawa ni kesi nyingine kabisa. Ila na wao wanaanza katika stage ile ile kuwa anapenda kuwa kwenye Mahusiano na Mwanaume muda wote na kwa kila kitu zaidi ya Mwanamke. Hadi mwishoni anakuwa MALAYA wa ngono za Ki-Gay. Hawa mara nyingi ni Wakorofi sana na wepesi sana kupigana na hawawapendi kabisa Wanawake (hasa -------) kwa sababu wanawaharibia sana SOKO LAO.

Gays wenye Permanet Partiners, ni Wastaarabu sana na unakuta wana marafiki wengi wa Kike na mara chache sana kusikia wamefanya fujo au kupigana ovyo.

Anyway, kwangu mie huwa nasema hii inatokana na mwili wa Binadamu unapoanza kuumbwa, kuna vitu vingi sana vinatokea kutokea KICHURA kinapotoka kwa Mwanaume na kuingia kwenye YAI na Process inaanza, chochote chaweza kutokea na mtoto akazaliwa akili zimepinda. Pia kutokana na maendeleo yaliyopo sasa, vyakula tunavyolishwa vya ajabu ajabu, Mionzi ya Fukushima na Charnobil nk lazima watoto wazaliwe wamepinda kiakili.
Pia la mwisho ni kuwa TUMEKUWA wengi sana duniani kwa sasa na NATURE huwa ina jinsi yake ya kupunguza watu au wanyama wakizidi sehemu fulani. Zamani kulikuwa na Magonjwa na Vita ila sasa AIDS wenyewe tunaizua sana tu sasa lazima NATURE itoke kivingine ili kupunguza watu.

Mashoga, AIDS, Watu kugoma kuzaa, mbegu za uzazi kupungua au kukosekana kabisa nk..... Lazima tupungue.
 
Last edited by a moderator:
Mungu atunusuru na hili janga maana kila kunapokucha linapamba moto
 

But the MAJOR CAUSE is Drug Taking which leads to unkinder style of SEX; and not HOMOSEXUALITY Just because HOMESEXUALS majority of them are drug addicts does not necessarly HIV traffic... but SOME OF HETERESEXUALS do go RARE without RUBBLE but majority do not do DRUGS... Case FACT US STUDIES...
 

nngu007 anal intercourse is frictional and bruising; and hence,amenable to the spread of HIV notwithstandin gthe status of drug abuse of the victims of such a plague.......
 
Mzoefu? I used to have a gay roommate. watu wako open huku. Bora wawe wazi kuliko kujificha huku wakisambaza magonjwa kwa wake au ma girlfriend.
Don't worry about what other people do in the bedroom.

HoneyBee what other people are doing in their bedrooms now is posing a serious health hazard..................when they get sick they drain national resources and they inability to work they impose health and dependence costs on relatives, friends and society at large......................if we bury our heads in the sand but we will still pay later
 
Mungu atunusuru na balaa hili..Halafu mashallah wanakua wazuri sura umbo mpaka tumbo linaniuma nikiona kijana namna hiyo wallah...

promiseme kumbe nawe unawatamani! Kama ni hivyo khali yetu ni mbaya sana.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…