Hivi hata hili neno mashoga haliwadharirishi kweli? nadhani wangegombea na hata hili jina lifutwe waitwe labda ''watu wenye ulemavu wa jinsi'' , au ''wahanga wa uwiano usio sawa wa homoni'' au ''wenye mtindio wa jinsi''
Ila naamini pia umoja wa mataifa unaheshimu imani, mila na tamaduni za nchi wanachama na kwa maana hiyo basi mila na desturi za nchi yetu zinatukataza kuwapa nafasi watu wa aina hii nchini kwetu. Hao jamaa kwanza ni njaa tu zinawatuma kwani ukichunguza utagundua mi msukumo wa mashirika ya kimataifa na wala si mashirka ya kizalendo. Hadi hivi sasa sidhani kama kuna NGO,au CBO yeyeto iliyosajiliwa kufanya kazi nchini inajishugulisha na haki za watu 'wenye mtindio wa jinsia', so madai hayo yamekuwa push na mashirika yasiyokuwa na sauti za watanzania wenyewe.