Mashoga WAISHTAKI Tanzania UN

Mashoga WAISHTAKI Tanzania UN

Cha ajabu kama wanaamini wanachokifanya mbona wanajificha? Hapa jf wenye misimamo ya kikabili,dini,utaifa wanajulikana,vitu hawa wenzetu hawajiweki wazi? Sikutegemea kama mjadala utafika huku yaani kwa kupata support ya watu hapa jamvini.
 
Kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa na jarida la afya nchini Uingereza, The Lancet, unyanyapaa, itikadi za kidini na kijamii na uhasama wa kisiasa ndio sababu kubwa ya kuongezeka kwa maambukizi ya virusi miongoni mwa wanaume wapenzi wa jinsia moja barani Afrika.

Watafiti katika chuo kikuu cha Oxford, walichunguza matokeo ya utafiti kuhusu hali ya kusambaa kwa virisu vya HIV kuisini mwa jangwa la Sahara, katika miaka sita iliyopita.

Idadi ya visa hivyo miongoni mwa wanaume wapenzi wa jinsia moja, inatofautiana katika baadhi ya nchi.

Iligunduliwa visa hivyo ni mara kumi ya visa vya maambukizi ya ugonjwa huo katika nchi za magharibi mwa Afrika.


moreHERE
 
Wengi wanuliza kwanini mashoga Tanzania wanajificha... wanaogopa unyanyapaaji...kama walioadhirika na ugonjwa wa ukimwi wanatengwa, sembuse mashoga???
 
Last edited:
Uhuru una mipaka na ndio maana China unawaona sasa hivi wanakaribia kumpiku Mmarekani. Kwa sababu wana mipaka yao na tamaduni zao vipi nchi za kiarabu wao hawana watu wenye tabia hizo za kishenzi za kishoga? Wapo tena sana . Kwa nini wasihalalishe? Kwa sababu ya misingi ya nchi zao. Kila nchi ina utaratibu na mfumo wake unaorandana na utamaduni wake na sidhani kama hili la Ushoga lilikuwepo kipindi hicho na katika hii FORUM MTU YEYOTE ANAYEUTETEA USHOGA NAYE NI ****** AU MSAGAJI. Hatuwezi kukubali mambo kama haya yaje yatuharibie mila zetu na desturi wewe kama una tabia za kishoga fanya kivyako lakini usiwe kikwazo kwa wengine na ndivyo Katiba inavyosema isipokuwa sheria inakubana ukibainika ni kifungo tu. Tuachane mambo ya kipuuzi . Yaani hao jamaa wamekosa ajenda ya kwenda kuwasilisha Umoja wa Mataifa na kipeleka ideas za KISENGE? Kwa nini wasiende kuelezea ufisadi na udini unavyoimaliza nchi yetu huku wananchi wakiishi kwa umaskini mkubwa huku rasilimali zao zikiteketea? Wanatafuta pesa hao si lolote . USHOGA HAUNA NAFASI KATIKA NCHI YETU. Mimi sio mbaguzi isipokuwa mtanisamehe kwenye hili la ushoga. SIKUBALIANI NALO NA SIUNGI MKONO
 
Hivi hata hili neno mashoga haliwadharirishi kweli? nadhani wangegombea na hata hili jina lifutwe waitwe labda ''watu wenye ulemavu wa jinsi'' , au ''wahanga wa uwiano usio sawa wa homoni'' au ''wenye mtindio wa jinsi''
Ila naamini pia umoja wa mataifa unaheshimu imani, mila na tamaduni za nchi wanachama na kwa maana hiyo basi mila na desturi za nchi yetu zinatukataza kuwapa nafasi watu wa aina hii nchini kwetu. Hao jamaa kwanza ni njaa tu zinawatuma kwani ukichunguza utagundua mi msukumo wa mashirika ya kimataifa na wala si mashirka ya kizalendo. Hadi hivi sasa sidhani kama kuna NGO,au CBO yeyeto iliyosajiliwa kufanya kazi nchini inajishugulisha na haki za watu 'wenye mtindio wa jinsia', so madai hayo yamekuwa push na mashirika yasiyokuwa na sauti za watanzania wenyewe.
 
Back
Top Bottom