Mashoga wanatakiwa wapewe adhabu ya kifo hapo ndio tutaokoa kizazi hiki

Kila mtu ana uhuru wa kutumia sehemu zake za siri anavyoona inafaa . Wajinga wengi bado mpo stone age kuwapangia watu maisha.
 
Nikimaanisha kuwachoma moto namaanisha kupitisha sheria ya kuwaua kabisa
 
Wapenda jicho wanaongezeka itakua ngumu sana
 
Wenye uzoefu tujuzeni. Huko uani Ni kutamu kuliko sebuleni?
 
Huku Arusha mashoga wengi siyo wazawa ..wengi wanatoka singida, manyara na huko shinyanga
 
Tatizo au chanzo cha Ushoga ni dhambi,na mzizi wa dhambi ni Shetani/Ibilisi.

Siku atakapochomwa moto Shetani ndipo dhambi zote ikiwemo ushoga zitakoma na tutaishi maisha ya raha milele zote.

Jitahidi usikose pale rafiki.
 
Ni uchaguzi wa mtu! Ni starehe ya mtu kwa makubaliano. Hata wewe ulieandika uzi siku ukijaribu hutaacha na utajuta mda wote hukugundua. Angalia hata wakubwa makanisa ya heshima duniani!

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo USHOGA unakukera kuliko MAUAJI ???
 
Viongozi wakifuata ushauri wako basi Tanzania itakufa taratibu hadi ipotee kwenye ramani. Wale wa ARV watakufa kama kuku.
 
Hao vijana wa arusha ni too much kila thread itakayozungumzia ushoga hao vijana wa arusha lazima waongoze kwa kusemwa ,mkuu wa mkoa wa huko inabidi awajibike kwa hili
Kuwajibika kwa sheria gani?!!kama serikali kuu, haina msimamamo mmoja juu ya suala la ushoga , itakuja kuwa RC!??purukushani za makonda kipindi kile nini kilitokea??haya mambo hata useme uwaue sio dawa!!huko kwenye nchi za kiarabu wanasheria kali sana lakini hayo mambo yamekwisha???
 
Wizi ufisadi wa mali ya umma,unaosababisha umaskini na ufukara wa kutisha,hausababishwj na mashoga,ukosefu wa ajira,Elimu duni,huduma mbovu za afya hivi vyote havisababishwi na ushoga,Ulaya,US,hata Afrika kusini Kuna mashoga wengi,lakini hizo nchi ndio zinatupa misaada,
 
Mkuu Arusha unaijua au unaiskia tu??Mafala unaowazungumzia hao wako sehem gani uku Chuga??Acha kuaibisha mikoa ya watu dingii.!!Chuga hakuna Mashoga.
Mkuu fanya utafiti kwenye night club za Arusha..kumejaa mashoga ma..mama.. ee
 
Niliona documentary moja hivi nadhani kama sio Serbia au Marcedonia basi yaweza kuwa Belarus kifupi ni kwamba baada ya nchi kujiunga na Umoja wa Ulaya kuna faida na hasara kubwa iliingia likiwepo hilo la ushoga

Vijana ambao sio mashoga wanalaumu vikali sn nchi yao kuingia kwenye jumuiya hiyo(EU) huo utamaduni wa upunga haukuwahi kuwepo na hawakuwahi kuwaza siku moja nchi itagawanyika katika makundi mawili (wanaounga na wasiounga mkono ushoga)

Vijana wanawindana kuuwana kwa bunduki mtaani ...wasiouhitaji mfumo wa ushoga wanawawinda mashoga kuwaua tu ili mashoga wakiungwa mkono na nchi za magharibi ...aseee dunia imeharibika sn na inaharibika zaidi ya hapa

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…