Mtoto wako/ndugu yako akiwa shoga basi umchome moto ili tuige kwako ila watoto wa wenzio kuwapangia cha kuwafanya si vyema. Ungesema ufanyike utafiti kwa nini watu wanakuwa mashoga ningekuunga mkono.
Tabia zisizofaa ni nyingi sana katika jamii kwa nini wewe uchague mashoga tu na wengine uwavumilie.
Hivi wanaowapa mimba wake za watu,wanafunzi na dada zetu majumbani tabia zao zinakupendeza?
Wanaolewa kutwa nzima hawataki kufanya kazi wanakupendeza?
Waongo wanaofitinisha wanakupendeza?
Mwenye mamlaka ya kuua ni mungu na shetani,sasa wewe hayo mamlaka ya kuua wenzio unayatoa wapi?
Tabia za kuhukumu watu kwa interest binafsi zinatakiwa zikomeshwe!
Wewe shoga amekudhulu nini mpaka umuue? Je hao ambao wewe unawaona sio mashoga una uhakika gani kama sio mashoga?
Je wanaofi### hao mashoga kwa nini huwaongelei? Je ni vizuri wanavyofanya?
Wanafalsafa wanasema hakuna "group deeds but individual deeds" For the issue of individuality why should you be bothered?
Kama mtu anakengeuka wewe unapungukiwa nini?
Kama shoga anakuja nyumbani kwangu kunishawishi niwe kama yeye hapo ana nikosea ila yupo huko hata sionani nae mimi inanipunguzia nini?
Mambo ya ushoga yalianza tangu kale na hadithi za sodoma na gomora lakini walishindwa kuyatokomeza, kwa hio ni ngumu sana dhambi kuitokomeza ili upate "ideal society"
Kama unamini mungu waache watahukumiwa na alie waumba, wewe nani mpaka uwahukumu?
Kila mtu aubebe mzigo wake mwenyewe, kwa nini unaanza kubeba ya wengine?
Ukiona shoga anakuletea mizengwa kwako shughulika nae kimya kimya usisubili serikali ila kama hajakudhulu achana nae.
Binafsi nina miaka zaidi ya 10 sijamshuhudia shoga wewe unawaona wapi,unakutana nao wapi ?
Je unaweza kutuorodheshea majina yao na wanaoshiriki nao au unasikia tu JF?