uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
Unataka kusemaje hapa?mchich
mchicha pori huoUnataka kusemaje hapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kusemaje hapa?mchich
mchicha pori huoUnataka kusemaje hapa?
Hahaha.Haya mwenye kazi yake kamaind sas.!
Umeshasema Mahakimu na watoto wa majumbani.Hayo maneno tumeshayazoea ni wimbo tu kama ulivyo ule wa bukuku... ingekuwa ni hivyo hata mahakimu hawangekuwa na kazi kabisa, tena hata watoto manyumbani huko wasingeonywa maana wanayoyatenda hata sisi tuliyatenda kwenye udogo wetu
Hakuna wa kubaki.Atabaki nani?
Tena sana kutamuWenye uzoefu tujuzeni. Huko uani Ni kutamu kuliko sebuleni?
Huku Arusha mashoga wengi siyo wazawa ..wengi wanatoka singida, manyara na huko shinyanga
[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]Wewe ni nani unasema mashoga wafe? Mungu kawaacha waendelee na starehe yao! Hayo ni makubaliano ya watu kwa hiari, ndio maana nchi nyingine zina sheria ya kuwatetea. Wewe unaesema wafe siku ukijaribu hutaacha, ni starehe ya aina yake.
Humu sio watetexi tuu.... Bali ni mashoga kamiliKumbe humu kuna watetezi wa mashoga kiasi hiki?
Kuna moja kwenye huu uzi linalalama kweli kweli [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hahahah..eti mashoga nao wananyanyua vyuma...kiruuuu
Wewe ni nani unasema mashoga wafe? Mungu kawaacha waendelee na starehe yao! Hayo ni makubaliano ya watu kwa hiari, ndio maana nchi nyingine zina sheria ya kuwatetea. Wewe unaesema wafe siku ukijaribu hutaacha, ni starehe ya aina yake.
Wewe ni nani unasema mashoga wafe? Mungu kawaacha waendelee na starehe yao! Hayo ni makubaliano ya watu kwa hiari, ndio maana nchi nyingine zina sheria ya kuwatetea. Wewe unaesema wafe siku ukijaribu hutaacha, ni starehe ya aina yake.
Mmojawao huyu hapa,somebody Lebai Mmasai huyu anaonekana mzoefu kupita maelezo.Mkuu Arusha unaijua au unaiskia tu??Mafala unaowazungumzia hao wako sehem gani uku Chuga??Acha kuaibisha mikoa ya watu dingii.!!Chuga hakuna Mashoga.
Usikimbilie kusema uliza uliza hebu tuambie hapa wewe shoga dhahiri,unajisikia raha gani kupigwa mpini jambo ambalo alipaswa afanyiwe dada yako?Uliza huko kanisani hasa waliohusika na kashfa watakujibu
Veep mtoto wako akaamua kufanya huo "uchaguzi"Ni uchaguzi wa mtu! Ni starehe ya mtu kwa makubaliano. Hata wewe ulieandika uzi siku ukijaribu hutaacha na utajuta mda wote hukugundua. Angalia hata wakubwa makanisa ya heshima duniani!
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app