EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Unauhakika ni wageni???Huku Arusha mashoga wengi siyo wazawa ..wengi wanatoka singida, manyara na huko shinyanga
Wengi ni kutoka singida na manyara hapo ..hakuwa mchaga ni mtu wa tanga sema kaishi arusha..acha ubishi mahali wa chuga wazawa huwezi wakuta wakifanya us*ngerema kama huo mkuu..Unauhakika ni wageni???
Habari za mashoga wengi wanatokea hukohuko.
Hata yule aliyeolewa na mzungu alikuwa mchagga. don't excuse yourself
Jaribu uoneWenye uzoefu tujuzeni. Huko uani Ni kutamu kuliko sebuleni?
Wengi waja leo kurudi majaliwaHuku Arusha mashoga wengi siyo wazawa ..wengi wanatoka singida, manyara na huko shinyanga
Yule choko chale au yupi,mana huyo ndio tunajua kaolewa na mzungu...ni muarusha sio mchaga,namjua mpka baba yake alikuaga mereraniUnauhakika ni wageni???
Habari za mashoga wengi wanatokea hukohuko.
Hata yule aliyeolewa na mzungu alikuwa mchagga. don't excuse yourself
Hayo maneno tumeshayazoea ni wimbo tu kama ulivyo ule wa bukuku... ingekuwa ni hivyo hata mahakimu hawangekuwa na kazi kabisa, tena hata watoto manyumbani huko wasingeonywa maana wanayoyatenda hata sisi tuliyatenda kwenye udogo wetuAsiyekuwa na dhambi na awe wa Kwanza kuwatushia mawe au kuwanyonga.
Atabaki nani?Pombe na unga ni mbaya kabisa. Walevi na mateja wachomwe moto. Wala wake za watu na wazinifu wanyongwe. Wezi wakatwe mikono. Wapinzani wanakwamisha maendeleo wanyongwe. Wakristo ni makafiri wauawe. Waislam wanaleta ugaidi wachomwe moto. Waarabu wanafundisha ufiraji huko pwani.
ongezea hayo kwenye kill list.
Sasa hapo sibora tu hayo mawe [emoji16][emoji16][emoji16]Adhabu kali sana hiyo sikubaliani nayo bora wapewe adhabu kupigwa na shoti ya umeme waya zina wekwa kwenye kinyeo mpaka wafe..
jibu ni kuwa, tukianza tazama watu vile wanatuchukiza na kuwaua, basi tutegemee mauji mengi sana na hata huyo anayesema mashoga wauawe hata yeye kuna watu hawampendi kwa mitazamo, itikadi au imani yake. Haya mambo ya dhambi tumuachie Mungu mwenyewe atadeal na watu wake.Atabaki nani?
Wewe sio!!!!Achana nao kama wanakukera nenda kalime huko!
Mkuu kumbe na wewe mchele mchele? Kweli jf nako kumejaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wewe huna akili na ni mpumbavu.
Ukishawamaliza hao mashoga utahamia kwa nani? Andunje? Wamasai? Bijeba au?
Shwaini kabisa
Haya mwenye kazi yake kamaind sas.!Wewe huna akili na ni mpumbavu.
Ukishawamaliza hao mashoga utahamia kwa nani? Andunje? Wamasai? Bijeba au?
Shwaini kabisa
Unataka kusemaje hapa?Ni uchaguzi wa mtu! Ni starehe ya mtu kwa makubaliano. Hata wewe ulieandika uzi siku ukijaribu hutaacha na utajuta mda wote hukugundua. Angalia hata wakubwa makanisa ya heshima duniani!
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app