Mashoga wawili maongezi yao yalikuwa hivi

Mashoga wawili maongezi yao yalikuwa hivi

Maega

Senior Member
Joined
Jul 10, 2010
Posts
156
Reaction score
31
Mashoga wawili maongezi yao yalikuwa hivi:-

Shoga 1: Natoa swali ukikosa utanipa na ukipata nitakupa sawa?

Shoga 2: Poa

Shoga 1: Ni mnyama gani anafugwa na binadamu anakula panya na analia nyau?

Shoga 2 akajibu: Samaki!

Shoga 1: Nyooo umejikosesha makusudi, niulize na mimi!

Shoga 2: Simba kwa Kingereza anaitwa Lion, Je!, kwa kiswahili anaitwaje?

Shoga 1 akajibu: Chatu!

Shoga 2: Umepata.
 
Maskini shida yake agegedwe tuu hii laana unajua

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hao watakuwa ni waislamu tuu, cause ndo wanapenda izo mambo za kufir****na
 
Sawa kabisa hujakosea kaka hahahahahahaha ndo mana wanabadilisha dini na majina ni aibu tupu duuduuh
 
Hao watakuwa ni waislamu tuu, cause ndo wanapenda izo mambo za kufir****na

Ishia hapo hapo ukome kukashifu dini za watu laanatullah wewe...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Nyie makafiri ndio wenye laana hiyo ya kulawitiana.Hasa katika madhehebu ya kiangelikana kwa kuruhusu ndoa za mashoga.Inashangaza kwa mchungaji kuwa shoga. Yaani anafunga ndoa na mwanaume mwezie tena ndani ya kanisa.Huyo ni mtumishi wa Mungu au mtumishi wa shetani.Pia mapadri wengi wa kanisa katoliki huko ulaya wamekumbwa na kashfa ya kulawiti watoto makanisani.Mapadri wanakatazwa kuona ili wapate kuwalawiti masista na watoto.Hiyo yote ni laana ya PAULO.Kwa sababu alikuwa akipakatwa na kumiminwa miminwa.Huyu ndio muanzilishi wa ushoga katika ukiristo.

Maoni ya Biblia

Je, Kuna Sababu Zinazotetea Ushoga?

USHOGA unaendelea kukubaliwa katika nchi nyingi. Kikundi fulani katika kanisa moja nchini Marekani kinasema kwamba maoni ya Biblia kuhusu ushoga yanapaswa kufafanuliwa upya yapatane na "uelewaji wa kisasa." Kasisi mmoja huko Brazili ambaye hivi majuzi alimwoa mwanamume mwenzake alisema kwamba "Biblia inapaswa kuchunguzwa upya," ili iruhusu maoni ya kisasa ya kanisa lake.

Kwa upande mwingine, watu ambao hawakubaliani na ushoga wanaonwa kuwa watu wanaowachukia mashoga au wenye ubaguzi. Biblia inasema nini hasa kuhusu ushoga?



Biblia Inasema Nini?

Biblia haikubaliani na watu wanaowabagua watu wengine. Hata hivyo, inaeleza waziwazi maoni yake kuhusu matendo ya ushoga.

"Usilale na mwanamume kama vile unavyolala na mwanamke. Ni jambo lenye kuchukiza."-Mambo ya Walawi 18:22.

Sheria hiyo ambayo ni sehemu ya Sheria ya Musa ilikuwa mojawapo ya sheria kuhusu maadili ambazo zilipewa hasa taifa la Israeli. Hata hivyo, amri hiyo inaeleza maoni ya Mungu kuhusu matendo ya ushoga, iwe yanafanywa na Wayahudi au watu wasio Wayahudi, inaposema hivi: "Ni jambo lenye kuchukiza." Mataifa yaliyozunguka Waisraeli yalikuwa na mazoea ya ushoga, ngono kati ya watu wa familia, uzinzi, na matendo mengine yaliyokatazwa na Sheria. Kwa sababu hiyo, Mungu aliyaona mataifa hayo kuwa si safi. (Mambo ya Walawi 18:24, 25) Je, maoni ya Biblia yalibadilika wakati wa Ukristo? Hebu ona andiko lifuatalo:


"Mungu aliwaacha katika hamu za ngono yenye kufedhehesha, kwa maana wanawake wao walibadili matumizi yao wenyewe ya asili kuwa yale yaliyo kinyume cha asili; na vivyo hivyo pia hata wanaume waliacha matumizi ya asili ya mwanamke na kuwakiana tamaa kali katika uchu wao kuelekeana wao wenyewe, wanaume kwa wanaume, wakitenda mambo machafu."
-Waroma 1:26, 27.



TUMSIKILIZE PAULO ANASEMA NINI KUHUSU USHOGA

Basi, mimi naona sheria hii katika hali yangu: kwamba ninapotaka kufanya yaliyo sawa,+ yaliyo mabaya yapo pamoja nami.+ [SUP]22[/SUP] Kwa kweli naipenda+ sheria ya Mungu kulingana na mtu+ niliye kwa ndani, [SUP]23[/SUP] lakini mimi naona ndani ya viungo+ vyangu sheria nyingine ikipigana+ na sheria ya akili+ yangu na kunichukua mateka kwa sheria ya dhambi+ iliyo ndani ya viungo vyangu. [SUP]24[/SUP] Maskini mimi! Ni nani atakayeniokoa kutoka katika mwili unaopatwa na kifo hiki?+ [SUP]25[/SUP] Shukrani kwa Mungu kupitia Yesu Kristo Bwana wetu!+ Basi, kwa akili yangu mimi mwenyewe ni mtumwa wa sheria+ ya Mungu, lakini kwa mwili wangu mimi ni mtumwa wa sheria ya dhambi.+


[SUP]11[/SUP] Ikiwa tumepanda vitu vya kiroho+ kwenu, je, ni jambo kubwa tukivuna kutoka kwenu vitu vilivyo kwa ajili ya mwili?+




HAYA NI MANENO YA MKUU WA MASHOGA PAULO
 
du!mimi napita tu,maana hii jokes ya leo,sijui kama itaisha salama.
 
hv kumbe utani na matusi ni k2 kimoja ee! nitamtafuta mzee au wazee wa ulimwengu wa kiswahili
 
Back
Top Bottom