Mashoto Maarufu Duniani

Mark sikumbuki kukuona ukiwa unatumia mkono wa kushoto
Hukumbuki kuniona wapi mkuu? Primary,Secondary,High School,Varsity au kazini? Tena sio mkono tuu hadi mguu ni left.Pia hata mimi simkumbuki mtu mwenye jina hili ambaye nishakutana naye kwenye academic arena...
 
Jisahihishe kwanza, sio Bill Clinton, ni Bill Gate
 
Mbona mimi hukuniorodhesha?
 
Hapo namba 2 mkuu umetulisha matango pori!!

Naona jina ni tofauti na picha!
 
Najisikia fahari kuwa left hander, wazazi hawakunizuia kutumia mkono wa kushoto zaidi ya kutoutumia kushikia chakula hasa ugali.
Hahaha...moja ya sababu ya kumkubali Uhuru Kenyata ni kuwa yeye ni mashoto, lakini mimi siyo shabiki wa mashoto mwenzangu Messi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…