Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Ni kweli hata mimi naamini hivyo.utakua na kipaji fulani
Bill Clinton naye ni mashoto pia alikuwepo Rais wa zamani Gerald Ford pia ni mashoto.Jisahihishe kwanza, sio Bill Clinton, ni Bill Gate
Sikatai, lakini ungeliweka Picha yake, sio unaweka picha ya Bill Gates, jina la Bill ClintonB
Bill Clinton naye ni mashoto pia alikuwepo Rais wa zamani Gerald Ford pia ni mashoto.
Aliyetoa orodha hiyo si mimi. Nimesahihisha ttu. Nisamehe Mkuu kama nimekukwaza.Sikatai, lakini ungeliweka Picha yake, sio unaweka picha ya Bill Gates, jina la Bill Clinton
Sijakukaripia mzee, nimekusahihisha, au na wewe hupendi kukosolewa?. Sijamtaja mtu jinaAliyetoa orodha hiyo si mimi. Nimesahihisha ttu. Nisamehe Mkuu kama nimekukwaza.
Najisikia fahari kuwa left hander, wazazi hawakunizuia kutumia mkono wa kushoto zaidi ya kutoutumia kushikia chakula hasa ugali.
Hahaha...moja ya sababu ya kumkubali Uhuru Kenyata ni kuwa yeye ni mashoto, lakini mimi siyo shabiki wa mashoto mwenzangu Messi.
Na ndio Birthday ya Fid QAugust 13 ni siku maalumu kwa ajili ya watu wanaotumia mkono wa kushoto nikiwemo mimi.
Kwa hiyo hao watu kumi maarufu wa mashoto duniani wamewazidi idadi watu maarufu duniani wanaotumia mkono halali wa kulia?
Kwenye baadhi ya familia za Kitanzania Mtoto akionekana kutumia mkono wa kushoto huwa anakatazwa na Wazazi ambao wanaamini mkono wa kulia ndio sahihi kutumika kwenye kuandika na matumizi mengine mbalimbali.
Sasa leo nakukutanisha na Watu 10 maarufu duniani ambao wanatumia mkono wa kushoto kuandika na kuufanya kuwa mkono mkuu kama wengine wanavyoufanya wa kulia.
- BARACK OBAMA: Ni Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama anatumia mkono wa kushoto pia Bill Clinton nae.
2. BILL CLINTON: Tajiri namba moja wa Dunia.
3. OPRAH WINFREY: Mmoja wa Watangazaji Matajiri wa TV
4. EMINEM – MwanaHiphop wa siku nyingi
5. JUSTIN BIEBER– Mwimbaji staa mzaliwa wa Canada
6. RAFAEL NADAL – Mcheza Tennis maarufu.
7. LIONEL MESSI – Staa wa soka anaeichezea FC BARCELONA.
8. ANGELINA JOLIE – Mwigizaji staa kutoka Hollywood
9. LADY GAGA – Mwimbaji mwingine staa
10. MANNY PACQUIAO – Bondia
Watu 10 maarufu wanaotumia zaidi mkono wa kushoto – millardayo.com