Mashoto Maarufu Duniani

Mashoto Maarufu Duniani

Mkuu mi sijakuelewa unalenga nini.

Unataka kutuaminisha kuwa ukitumia mashoto lazima ufanikiwe na uwe maarufu kama hao uliowataja hapo juu?!

Je,hakuna watu wanaotumia kulia na wenye mafanikio kuliko hao uliowataja?!

Kama wapo point yako hasa kwenye hili bandiko ni kitu gani hasa?!
 
Mashotos mkuje huku. Mimi nilikatazwa kutumia shoto matokeo yake natumia nusu shoto nusu kulia. Ila guu ni kushoto mwanzo mwisho.
 
Najisikia fahari kuwa left hander, wazazi hawakunizuia kutumia mkono wa kushoto zaidi ya kutoutumia kushikia chakula hasa ugali.
Hahaha...moja ya sababu ya kumkubali Uhuru Kenyata ni kuwa yeye ni mashoto, lakini mimi siyo shabiki wa mashoto mwenzangu Messi.

Kama ukila na kijiko unatumia mkono upi
 
Team mashoto.
Najivunia kutumia huu mkono.
Watu uwa wananishangaa kweli
 
Screen-Shot-2017-12-13-at-2.05.21-PM-660x400.png

Kwenye baadhi ya familia za Kitanzania Mtoto akionekana kutumia mkono wa kushoto huwa anakatazwa na Wazazi ambao wanaamini mkono wa kulia ndio sahihi kutumika kwenye kuandika na matumizi mengine mbalimbali.

Sasa leo nakukutanisha na Watu 10 maarufu duniani ambao wanatumia mkono wa kushoto kuandika na kuufanya kuwa mkono mkuu kama wengine wanavyoufanya wa kulia.

  1. BARACK OBAMA: Ni Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama anatumia mkono wa kushoto pia Bill Clinton nae.
aaaaaa11111.jpg

2. BILL CLINTON: Tajiri namba moja wa Dunia.

123-biligate.jpg

3. OPRAH WINFREY: Mmoja wa Watangazaji Matajiri wa TV

Oprah-Winfrey-2.png

4. EMINEM – MwanaHiphop wa siku nyingi

1111111111111111111111111111.jpg

5. JUSTIN BIEBER– Mwimbaji staa mzaliwa wa Canada

11111111111111111111111111111v.jpg

6. RAFAEL NADAL – Mcheza Tennis maarufu.

12121212.jpg


7. LIONEL MESSI – Staa wa soka anaeichezea FC BARCELONA.

mesi-950x713.jpg

8. ANGELINA JOLIE – Mwigizaji staa kutoka Hollywood

asada.jpg

9. LADY GAGA – Mwimbaji mwingine staa

12134.jpg


10. MANNY PACQUIAO – Bondia
pacquia.jpg


Watu 10 maarufu wanaotumia zaidi mkono wa kushoto – millardayo.com
Kwa hiyo hao watu kumi maarufu wa mashoto duniani wamewazidi idadi watu maarufu duniani wanaotumia mkono halali wa kulia?
 
Na mimi nimo mpaka nikimpiga shemeji yenu mkumbaenga ni mashoto tu
 
Back
Top Bottom