Kufungwa kwa DC Sabaya na Atapohukumiwa Makonda kituunganishe sote wana CCM na wana CHADEMA kudai kuondolewa kwa kinga ya kushitakiwa viongozi wa juu ikiwemo Rais wa Jamhuri ya Tz! Huu upepo usiishie kwa hao dagaa wadogo walokuwa wakitimiza walichotumwa!Haya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.
Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.
lets watch and see.
kwaherini kwa leo
#WAPOLOO A.K.A WAHUNI
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Tulishafunga mawaziri pale Keko.Ikitoka kwa RCs na DCs tunahamia kwa wenyekiti wa vijiji na vitongoji
Niamini mimi
Hapa kesi tu
Sheria haianzii nyumaHakuna aliye juu ya Sheria. Hata SSH ajiandaye siku nikiwa rais nitafuta kinga nakumpeleka mahakamani
mwisho wa chama cha ccm utakuwa mbaya sana. Kila mtu ateenda jela kwa sababu hawana nidhamu.Zambia wanatuonyesha mfano mzuri sana, hata Wamalawi, SA, Ghana,etc.
Ukiambiwa umesanda unarusha ngumi hewaniHaya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.
Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.
Let's watch and see.
kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Uzuri na Mungu yupo kaziniKama walifanya makosa hao viongozi wa ngazi za juu kuna ubaya gani wakishtakiwa?
Mtu hana vyeti unamsafishaje?Hapa naona kuna mchezo unaendelea ili kumsafishia Mtu njia.
Ngoja tusubiri matokeo yake tuone kipi ni kipi
Hongera sana rais ajayeHakuna aliye juu ya Sheria. Hata SSH ajiandaye siku nikiwa rais nitafuta kinga nakumpeleka mahakamani
Mazoea ni mabaya sana.
Wewe unaona hao viongozi wote hawatakiwi kushtakiwa mbele ya sheria wanapofanya uhalifu?
Wakiua, wasishtakiwe kwa vile ni viongozi? Wakiiba wasishtakiwe, kwa vile ni viongozi?
Hii ni nchi au jalala la watu kujifanyia lolote wanalotaka, mradi tu ni viongozi?
Mada ya kipuuzi kabisa hii. CHADEMA wakishika madaraka, bado utang'ang'ania viongozi hao wasishtakiwe kwa kuwaonea tu mahasimu wao wa CCM wanaowatesa kwa sasa hivi?
Litakuwa jambo zuri sana. Kwanza tufute ile sheria ya kinga kwa akina Ndugai.Kama walifanya makosa hao viongozi wa ngazi za juu kuna ubaya gani wakishtakiwa?
Ni kweli. Lakini hiyo kanuni imetungwa na Bunge. Ukipelekwa mswada Bungeni, sheria ikatamka kuwa hiyo sheria haitahusu makosa dhidi ya ubinadamu na viongozi kujinufaisha walipokuwa madarakani, kila kitu kitaishia hapo. Watakokotwa kwenda mahakamani. Ndivyo ilivyofanyika kwa Sadam Hussein kuke Iraq. Kinga haikusaidia.Sheria haianzii nyuma
Rais wa nchi hii hastakiwi. Hiyo sheria ilipotishwa siku nyingi.Hakuna aliye juu ya Sheria. Hata SSH ajiandaye siku nikiwa rais nitafuta kinga nakumpeleka mahakamani
Huyo mzalendo kama atatokea chama hiko hiko hatofanya lolote.. refer mzalendo aliepita? Aliwafanya nn marais waliopita,?Kama ulikuwa kichwani mwangu. Hizi sheria za kinga wanazojiwekea zinakuwa na nguvu kutegemea nani yuko madarakani.
Wasitegemee akikamata nchi mzalendo kwamba watasalimika nyang'au hawa
Waliamini watatawala milele na mileleKama walikanyaga katiba, basi wacha wavune walicho kipanda...
Utawala katili snAfadhali kama na wewe umeacha kuwaimbia mapambio ya kuwa chochea wafanye chochote watakalo liwe BAYA au zuri, acha wafungwe kabisa au na wewe ni mshirika wao🤔.
aMl ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.
Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.
Let's watch and see.
kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Kwani sheria ikitungwa leo, inarudi nyuma? Nijuacho inaanza kufanya kazi siku inapotungwa kwenda mbele... Atajayetenda kinyume wakati ipo, huyo ndo itamuhusuHakuna aliye juu ya Sheria. Hata SSH ajiandaye siku nikiwa rais nitafuta kinga nakumpeleka mahakamani
Hata aje mzalendo vipi hawezi jitolea Kinga yeye akiwa raisi Maan anajua nae Kuna siku atastafu mwenzie ajae kama alikuwa mpinzani wake kisiasa atamtafutia tu sababu amsulubu... Hichi kifungu ni wana nchi wenyew wakomae kupitia wabunge ili kiondolewe... Usitegemee Kuna raisi yyte atasema ajiondolee Kinga hamna uzalendo wa ajabu kama huo kwene siasa[emoji3]Kama ulikuwa kichwani mwangu. Hizi sheria za kinga wanazojiwekea zinakuwa na nguvu kutegemea nani yuko madarakani.
Wasitegemee akikamata nchi mzalendo kwamba watasalimika nyang'au hawa