Haya maono yana chembechembe za uhalisia ...Ninachowaza ni nani atafuata?Haya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.
Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.
Let's watch and see.
kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Janaury aisee huyu jamaa ntahudhuria mahakama mpka kesi yake iishee.... anazingua sana huyuHaya maono yana chembechembe za uhalisia ...Ninachowaza ni nani atafuata?
Naona genye za kike zimekubanaHivi Marehemu hastakiwi? Ni muhimu hata kama amekufa, ahukumiwe ili kumsaidia Mungu kazi! Unafanya unyama, unapoteza watu wasiohatia n.k halafu unakufa haraka!!
Kesi ifunguliwe ili haki itendeke kwa kuanzia na mwendazake!
Kwa katiba ipi!!!Kama walifanya makosa hao viongozi wa ngazi za juu kuna ubaya gani wakishtakiwa?
Kwa katiba ipi!!!!Haya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.
Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.
Let's watch and see.
kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Bora jalala hii nchi ni choo cha soko. Kama unaona viongozi wanajiwekea kinga ya kutokushtakiwa wakiwa madakarani na baada jua wameisha ona kuna maovu wanayafanyaHii ni nchi au jalala la watu kujifanyia lolote wanalotaka, mradi tu ni viongozi?
Hata Samia wanasema ni walewale kina Bashite kwenye swala la Elimu.Mtu hana vyeti unamsafishaje?
Viongozi wa juu ni wajanja. Wameshajitungia sheria yao bungeni hawashitakiwiHaya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.
Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.
Let's watch and see.
kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Samia wako wengi labda unamsema yupi huyo?Hata Samia wanasema ni walewale kina Bashite kwenye swala la Elimu.
Wa kazi iendeleeSamia wako wengi labda unamsema yupi huyo?
Kuna mambo ya sasa.. huyu yuko kwenye red dot tayariJanaury aisee huyu jamaa ntahudhuria mahakama mpka kesi yake iishee.... anazingua sana huyu
Bado wale waliojichukulia sheria mkononi kuwachapa baadhi ya watu hadharani without the authority of the law.Haya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.
Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.
Let's watch and see.
kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hapana! Kinachotakiwa ni kuwa na 'checks and balances' ili mtu asionee kwa vile ana cheo au madaraka na pia mwingine asionewe kwa vile hana cheo na madaraka na kuwa na 'checks and balances' ni kutaka kuwepo fairness - yaani kila kiongozi wa umma au kila mtu yeyote mwenye mamlaka fulani au asiye nayo atende jambo lolote analotenda 'within legal bounds'. Hapo ndipo tutaenda sawa.Bunge wakae chini watunge sheria za kuwajibisha viongozi wa umma maana tunakoelekea ni kubaya sababu kiongozi ukiwa na mapenzi mema na taifa lako kuhakikisha kodi inakusanywa, unapambana na madawa ya kulevya mwisho wa siku wakwepa kodi na walanguzi wa madawa wanawapampu mawakili walianzashe ili viongozi wengine waogope na kwa hatua hii kazi hazitanyika kabisa na kuna watu watakuwa wanakataa teuzi. Mtu kama makonda amepambana sana kwenye kupunguza wimbi la madawa ya kulevya hakuangalia mtu usoni na kwakweli alifanikiwa sana hata kuchochea maendeleo ya Dar es salaam watumishi walikuwa waoga kufanya vitendo viovu kulingana na uongozi imara wa Makonda eti leo anapelekwa mahakamani na ukiangalia washangiliaji wengi ni wale watu wa upande wa pili na wenye elimu za chini(team la saba b) kwamba hawezi kuwa kwenye list za hao viongozi.Ziwepo kamata za maadali au tume ya migogoro kati ya viongozi wa umma na wananchi na iwe na nguvu kisheria mtu asiende mahakamani bila kupitia huko na ikishindikana kesi iende high court.
Umeandika haya kwasababu ya kesi inayomkabili Makonda. Unataka mama Samia aogope kuacha Makonda ashitakiwe.Haya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.
Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.
Let's watch and see.
kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Uko sahihi kabisa kimsingi iwepo administrative body inayohusika na hizo allagations mfano FCC sababu kinochooneka sio uhalifu in such lakini kuna ukiukwaji katika suala zima la uongozi ambapo kimsingi hakuna binadamu aliyekamilika kila mtu ana mapungufu na kama mahakama shauri liende high court kwaajili ya judicial review.Hapana! Kinachotakiwa ni kuwa na 'checks and balances' ili mtu asionee kwa vile ana cheo au madaraka na pia mwingine asionewe kwa vile hana cheo na madaraka na kuwa na 'checks and balances' ni kutaka kuwepo fairness - yaani kila kiongozi wa umma au kila mtu yeyote mwenye mamlaka fulani au asiye nayo atende jambo lolote analotenda 'within legal bounds'. Hapo ndipo tutaenda sawa.