Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
The current regime shall be a benchmark seeing the head of state dragged to the court after the immunity is revoked to account for the intent wrongs against humanity and entertaining retaliation against the criticsHaya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.
Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.
Let's watch and see.
kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Yaani ccm imeharibu bongo za vijana wetu hasa wa ccmHawa chawa wa kina sabaya na Makonda hawawezi kukuelewa....
Huyo "mtuhumiwa" amekuwa ni jeshi la mtu mmoja linalowanyima raha kweli. Mmejaribu kila njia ya kumaliza chama chake mmeshindwa. Sasa mnaona njia pekee ni kumwondoa yeye, mkidhani hiyo ndiyo itakuwa njia nzuri ya kukimaliza chama chake.Nisumbuliwe na chama kilichojifia mwaka 2015 wakati mtuhumiwa wa ugaidi alipobadili gia angani. Pole sana.
Haijarudi nyuma..!!! Waliomaliza madeni wakati huo kwani wamerudishiwa kilichozidi..!?Mbona kwenye mikopo ya wanafunzi ilirudi nyuma? Kama jiwe aliweza kuirudisha nyuma basi hata mm nitairudisha nyuma
Kwa katiba ipi?Haya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.
Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.
Let's watch and see.
kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Sijakuelewa mkuu. Pengine hujaelewa tunaposema Sheria imerudi nyuma.Haijarudi nyuma..!!! Waliomaliza madeni wakati huo kwani wamerudishiwa kilichozidi..!?
Ukiona unaota ndoto za mchana kila wakati ujue karibu utakuwa chiziHuyo "mtuhumiwa" amekuwa ni jeshi la mtu mmoja linalowanyima raha kweli. Mmejaribu kila njia ya kumaliza chama chake mmeshindwa. Sasa mnaona njia pekee ni kumwondoa yeye, mkidhani hiyo ndiyo itakuwa njia nzuri ya kukimaliza chama chake.
Lakini mambo yanavyozidi kujipambanua, inaonekana hii ndiyo itakuwa kete yenu ya mwisho na itashindwa. Matokeo yake ni kusambaratika kwenu.
Nimekujibu kwa staha pamoja na kujua ukilaza wako.
Huwezi jua anahofia mmoja wa jamaa zake au washirika wake huenda wakahukumiwa iwapo haki ikitendeka na ikionekana inatendeka.Mbona unasema "angalizo" kwamba unataka kumaanisha ni jambo baya? Huoni kama ni jambo zuri ili viongoz wajifunze ku work within limit?
Sio tu kushtakiwa na kufungwa wafungwe kabisa kama lile jambaka sabaya.Kama walifanya makosa hao viongozi wa ngazi za juu kuna ubaya gani wakishtakiwa?
Wengine wanatolewa kafara TU, Kwa kutofautiana na wasiojulikana au washirika wao.Sio jambo la ajabu kwani hata Mawaziri wastaafu kama Hayati Mramba walishawahi kuwajibishwa kwa makosa yao.
Kwa hiyo wewe ni 'chizi'?Ukiona unaota ndoto za mchana kila wakati ujue karibu utakuwa chizi
Mzee Mwendakuzimu Konyo Sana, yaani akajiongezea Kinga Kabisa ki Katiba ili apate room ya Kufanya Jinai zakeHaya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.
Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.
Let's watch and see.
kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!