Mashtaka kila siku kuhusu wanawake wa humu JF, wanaume mnakera

Hivi huwa mnajue huyu mwanamke na huyi ni mwanaume. Kwenye mitandao kuna midume kibao inajifanya wanawake...na inawapiga mizinga inapotea...halafu unaanza kusingizia wanawake wa JF wako hivi wako vile.

Tulieni acheni kupaparikia wanawake wa kwenye mitandao. Mtaani huko kuna wanawake kibao hamwaoni?
 
Sijui hata wapo wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…